Mto wami kujengwe bwawa la umeme na kwa matumizi ya viwanda na wananchi

Mto wami kujengwe bwawa la umeme na kwa matumizi ya viwanda na wananchi

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere

Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika litakuwa na faida kubwa sana
  1. Litazalisha umeme
  2. Litaondoa kero ya maji wilaya ya chalinze, handeni, bagamoyo na mkoa wa dar es salaam
  3. Maji yatatumika kwenye zone ya viwanda ambayo itajengwa bagamoyo
  4. Itakuwa ni rahisi kufanya kilimo cha umwagiliaji
Soma Pia: Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji?

Kama nchi ni muda wa kuchangamkia hii fursa ya bonde la mto wami
 
Back
Top Bottom