Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji?

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini?

Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
 
Vyanzo vya maji Tanzania viko kila mahali lakini CCM nadhani unaijua. Unadhani kina Abdul watapata wapi fedha za kununua Rolls Royce?
 
Yaani ni ujinga mkubwa kutawaliwa na watu kama Chalamila kule sheta baba kayira,huku Zungu wa Yanga,hivi unategemea wana mawazo gani zaidi ya uchawa
 
Back
Top Bottom