Habari wakuu.
Hapa nazungumzia ukubwa kwa kiasi cha maji yanayotiririka.
Hadi sasa nilikuwa naamini Rufiji ndiyo mkubwa, sasa nimekutana na takwimu zikisema mtiririko wa mto Rufiji ni kama wastani wa mita za ujazo 413 kwa sekunde. Wakati Ruvuma ni 475.
Sina imani sana na data hizi, kwa...