Habari waungwana.
Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa.
Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu.
Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo...