Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo.
mtazame kwa mjibu wa millardayo
https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani.
Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli?
Huyu...
Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera.
Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.
Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.
Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
Kwema wandugu
Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana
Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu.
Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika
Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...
Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya.
Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo.
Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
Wale wenye new baby born kids au mnaotarajia, njooni mchukue kwa ajiri ya mtoto wenu.
viko viwili (2)
kila kimoja ni 140k + godoro
bei ni fixed wakuu
0697224996
Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ipo kwenye damu yako, uipendayo kwa muda mrefu. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea ni kwamba mtoto huwa mtu huwa anaandaliwa kuwa mfanyakazi fulani tangu kipindi akiwa mdogo, ambapo wazazi huwa wanatazama mwenendo wa mtoto katika michezo ambayo...
Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto, tohara kwa wanawake na unyanyasaji huku tukikuza elimu na mazingira tegemezi kwa watoto wote. Suluhu...
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa kuwa extrovert jambo ambalo haliwezekani.
Lakini kuwa introvert au extrovert si tatizo. Tafiti...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza.
Je, kauli hii ni kweli?
Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika
---
Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.