mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume, kazi ya kugusa maisha ya watu, kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza...
  2. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  3. BARD AI

    Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto

    Kuna mambo kama Wazazi huwa tunafanya kwa watoto bila kujua kama vinawaharibu na kuwashushia kujiamini au kuondoa ujasiri wao katika maisha yao yote. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto 1. Kuingilia Uhuru wake kupita kiasi 2. Kumtaja kwa Udhaifu wake (Mzembe...
  4. W

    Kipindi cha Uangalizi kwa Mama aliyejifungua Mtoto Njiti sio likizo ya Uzazi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa katika Sherehe za Kilele cha Mei Mosi Kitaifa, zilizofanyika jijini Arusha alitangaza kuongezeka kwa Siku za likizo kwa Wanawake wanaojifungua Watoto Njiti (Kabla ya Wiki 36 za Ujauzito) Kuanzia sasa iwapo Mfanyakazi atajifungua Mtoto Njiti...
  5. G

    Kutoka kwenye familia tuliyosomeshwa kwa gharama kubwa kumeniathiri kiuchumi, Kupeleka watoto kayumba ni aibu, Napambana kukwepa aibu

    Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba sikuwahi kupata changamoto za kiuchumi. Rasmi na mimi nikawa baba, nikaanza kuwaza watoto waje kusoma...
  6. Kaka yake shetani

    Kama una mtoto wa kike, mke, ndugu na n.k akiwa msanii we kubali utakayokutana nayo

    sio ulaya wala afrika swala la wanawake tasnia ya usanii yani kama inawapa shida sana ukilinganisha na wanaume. Kuna shida gani sanaa na wanawake
  7. Dr isaya febu

    Usimkatae mtoto anapozaliwa au kuwa na imani POTOFU pindi anapozaliwa na white stuff.

    Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito. ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka mtoto na wenye faida ya kulinda ngozi yake na kumkinga dhidi ya maambukizi. Ni hali ya kawaida na...
  8. R

    Ngozi ya mtoto ya vidole kukakama

    Hello wataalamu ,ngozi ya mtoto ya vidole vya mikono vimekakama na kumenyeka ngozi nimpake dawa gani wataalamu
  9. Q

    Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

    Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto. Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
  10. O

    Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/baba-jela-miaka-30-kwa-kumpondaponda-nyeti-mtoto-wa-kufikia-4611470 Credit:Mwananchi!!
  11. GoldDhahabu

    Mtoto hufunzwa kwa vitendo na siyo maneno

    Zanzibar na Tanga ni kati ya mikoa yenye idadi kubwa sana ya waislamu. Hayo yasingewezezekana kama Waislamu wangekuwa wanakazana kuwaambia watoto wao waswali huku wao wakifakamia "kitimoto" Ni mtu mzima pekee anayeweza kumwelewa Daktari mvuta sigara anayewahamashia watu wasivute sigara wakati...
  12. GoldDhahabu

    Umri gani sahihi kumjulisha mtoto wa kuasili kuwa ulimuasili?

    Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua". Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa. Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
  13. GoldDhahabu

    Ni sahihi kumpa mtoto uliyemuasili hadhi ya uzaliwa wa kwanza?

    Inafahamika kuwa unapokuwa umemuasili mtoto Kisheria, anakuwa na haki zote kama watoto wako wa damu. Kuanzia majina, urithi na haki zinginezo za watoto wa kwenye familia. Kama jina lako ni Mapema Akili, na mtoto uliyemuasili anaitwa Sahihi, majina yake kamili yatasoma Sahihi Mapema Akili...
  14. J

    Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya Kikatili na inayoumiza badala ya kufundisha Ili kufahamu zaidi, Shirika la Save the Children na WILDAF...
  15. S

    Unajiita mtoto wa mjini unakula milo mitatu na kuvaa hujui

    Mtoto wa mjini kipaumbele Cha kwanza kuvaa. Huwezi kuwa mtoto wa mjini unaendekeza kula kuliko kuwa nadhifu ,unafeli mchana kweupe.
  16. Mwizukulu mgikuru

    Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
  17. N

    Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

    Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu hili swala. Kivumbii
  18. Mkalukungone mwamba

    SI KWELI Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Habari JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula pilipili lakini naogopa mwanangu kuzaliwa na macho mekundu.
  19. Litro

    Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

    Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha. Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana. Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa...
  20. Chinga One

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani. Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
Back
Top Bottom