Kuna huyu Mngazija mmoja mwenye akili sana aliyeitwa Selim bin Abakari. Wakati Wajerumani ndiyo wanaanza kutawala Tanganyika huyu Selim Alikuwa akifahamu kijerumani, hivyo akaajiriwa na afisa mmoja wa serikali ya Ujerumani kama mfanyakazi wake. walisafiri naye sana.
Safari ya kwanza ilikuwa ni...
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.
Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na...
“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.”
“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond.
Pia soma;
TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa.
Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
Hi gentlemen and ladies!
Hapo chini kuna video ya viongozi wa dini waliokusanywa na viongozi wa serikali kwenda kukemea ajali huko Inyala Mbeya.
Hapo serikali ambayo inakusanya kodi ilipaswa kupanua barabara, kuondoa vichocheo vya ajali na kuweka alama muhimu za barabarani.
Ina maana wataalamu...
Habari!
Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe?
Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe?
Narudi mezani napata jibu ni...
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu...
Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla.
Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini...
Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?
Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?
Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?
Nawasilisha
Baada ya kutangaza hapa awali kuwa itampeleka mwanamke mwezini kwa mara ya kwanza, Shirika la Marekani la Anga za Juu (NASA) sasa limesema kuwa itampeleka mwezini mtu mweusi katika Mpango wake wa Artemis.
NASA imetoa pia ombi la bajeti yake itakayowezesha kumpeleka mwanadamu mwezini kwa mara ya...
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia...
Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu).
Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter
Marejeo :
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani...
Habarini za mchana bandugu, natumaini nyote wazima wa afya telee.
Nadhani mutakuwa mmeelewa head inavyosomeka.
Kwanini, mtu mweusi hususani mtanzania hupenda kuongea kiswahili na kupitishia kiingereza, wakati anaeongeanae ni mtanzania mwenzie ama mswahili mwenzie!! Kwanini Mzungu anaongea...
Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2) akisema kuwa alihisi kunyanyaswa na woga baada ya kukamatwa.
Katika...
Hivi ni mimi tu pekeangu huwa najionea kwa hawa ndugu zangu weusi wakiwashangaa white people's! Akionekana muzungu anatembea iwe kwa miguu ama kwa gali wanamshangaa, akionekana mwarabu, mhindi ama mchina wanamshangaa ata kama wanaishi mji mmoja but watamshangaa tu,kana kwamba awajawai kuwaona...
Mzuka wanajamvi
Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee.
Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska airlines imelazimaka kutua jwa dharura baada ya abiria kutishia kuua abiria wengine wote wasipokiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.