Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?.
Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku...
Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja Jaluo na mwingine Mzaramo akaitwa half cast?
Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini watoto wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
Wananzengo, waswahili walisema maji hufuata mkondo.
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji.
Akumulikaye mchana, usiku akuchoma.
Nakadhalika na kadhalika.
Tumeshuhudia kasi ya mateso na chuki kwa watu weusi ikipanda kiwango kila bara. Mtu mweusi anaonakana kama ni mtu ambaye utu wake ni wa kiwango...
Habari wakuu,
Napenda kuliongelea suala la ubaguzi wa rangi unaopigiwa kelele kwa sasa duniani. Kwanza kabisa tuelewe kwamba haya mambo hayajaanza leo. Yana historia ndefu sana kuanzia enzi za Nuhu na watoto wake watatu.
Hamu, yule aliemchungulia baba yake, alilaaniwa kwamba atakuwa mtumwa...
Nukuu: "mtangazaji kanipgia simu kuniuliza, Roma kwanini hatukuoni Ukiandamana au Ukikekemea Mtandaoni yanayoendelea Marekani Kama wafanyavyo wasanii wenzio was bongo?(Black lives matter).
Nikamjibu👉 Ninapokemea ya Tanzania siwaonagi Hao wasanii wakikemea Kama Mimi. So ni zamu yao now...
Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.