mtu

  1. JamiiForums Tanzania Baina ya hawa ni yupi mtu sahihi apewe wizara ya Nishati kuihudumu?

    A) Biteko, B) Mbawala, C) Kalemani?
  2. JamiiForums Tanzania Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini niliamua kutozungumza na mtu yeyote duniani kwa miaka 17 na kutopanda gari kwa miaka 22

    Kutoka kurasa za BBC Swahili. https://www.bbc.com/swahili/articles/c90np9xz0z2o Mmarekani John Francis alifanya uamuzi wa kubadilisha maisha akiwa kijana mwenye msimamo: aliamua kuacha kuzungumza. Alikuwa kimya hajazungumza kwa miaka 17 kabla ya kugundua kwamba alikuwa na jambo ambalo...
  4. JamiiForums Tanzania Mfahamu Andrew Tate, mtu anayetafutwa sana duniani kupitia Google

    Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa. Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na kipawa kikubwa cha ufasaha, Mmarekani mwenye asili ya Uingereza mwenye umri wa miaka 35 ambaye anaishi...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

    Nawasalimu kwa JMT, Mnyonge hanyongwi na haki anapewa. Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi. Ni nadra sana hapa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kila maendeleo ya mtu basi kuna mtu nyuma yake kasaidia

    Mwandishi Efrahim Mabena mawasilino:0745323576 mahali: Makambako_Njombe Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba. Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la January ni mtu laini laini na legelege mno na mtu anayeingilika kirahisi

    Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba. Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao. Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

    Sababu baada ya kumaliza chuo nimekosa ajira baada ya ku-apply sana Kazi sijaambulia kupata, sanasana naishiaga kwenye interview. Nimekaa mtaani mda mrefu, hivyo najishughulisha na temporary informal jobs ndogo ndogo. Mtaani baadhi ya watu wanajua mimi ni mwanachuo, sasa sometimes utakuta mtu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  10. JamiiForums Tanzania Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

    Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo. Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry. Nimeona sana toll gates...
  11. JamiiForums Tanzania Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushauri unavyofanya kazi na kubadili maisha ya mtu

    Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au mabaya kulingana na vile utakavyotumika huu ushauri kwa aliyeupokea. Maisha ya mwanadamu anaeishi...
  13. JamiiForums Tanzania Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

    Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma! Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mtu na maisha

    Ukweli halisi ni kwamba Kila mtu anaiona dunia kwa namna yake,kulingana na akili yake, ama katika kuwaza jinsi maisha yanafananaje kinamna ya yeye ! Nikiwa katika hali ya utulivu mwingi, ndani ya ulimwengu wangu wa kufikiri... Nilijikuta nikianza kutathmini kwa namna ambavyo binadam wote...
  15. JamiiForums Tanzania Police fikirieni upya maamuzi yenu before mkamate mtu

    Jamani sasa kama mmefika huku basi mnataka vijana wote wawe wezi ili ijulikane tu kila kitu atakachofanya ni uharifu. Haya huko pwani kijana wa watu tena msanii katengeneza mfano wa bunduki(matoi) ambayo anatumia kwaajili ya sanaa hajafanya uharifu wowote lakini anaenda jera #je mnadhani...
  16. JamiiForums Tanzania Nimependwa na mke wa mtu lakini watu wananionea wivu

    Habari yako, Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu. Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha niliwahi kusoma nae sekondari. Kipindi hicho tulikuwa na mahusiano lakini tulivyomaliza shule, mahusiano...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake. Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Fiston Mayele na Moses Phiri nani mtu hatari zaidi katika suala la kufunga?

    Habari, kama thread inavyosema, hivi kati ya Mayele mfalme wa Jangwani na Phiri mfalme wa Msimbazi, nani ni mtu hatari zaidi bila ushabiki.
  19. JamiiForums Tanzania Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu wa Nchi mbali anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki?

    Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa? Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa kuwazu yanayotuhusu mfano rushwa, mahari kwa watoto wetu na kabira zetu na mila zetu, tozo za vocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…