mtu

  1. K

    Je tunatakiwa kufuata sheria au maamuzi ya mtu fulani?

    Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.
  2. Hawa wenzetu sijui hawanaga mishipa ya aibu, mtu anakuomba laki kama anaomba buku.

    Wakuu mnawafanye hawa (KE)
  3. Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
  4. Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  5. Kwa uchawa na umungu mtu tulio nao, Magufuli alitujenga au kutubomoa?

    Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli. Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa mtetezi wa wanyonge. Je, hajatuachia unyonge uliozaa uchawa. Karibuni tujadili.
  6. Kitabu cha Mtu mweusi (Mwafrika)

    Habari wakuu natumai ni wazima leo nawaletea nakala hii msome ,mtafakari na mjitathmini kama waafrica wenzangu,kitabu cha BLACK BOOK OF ATUM,kinauzwa online ila nimewarahisishia ,ukiingia kwenye blog ya spevot.blogspot.com utakisoma kwa kiswahili na kingereza,na hicho ni BLACK BOOK OF ATUM II /...
  7. Ukitaka kufanya mambo yako kwa Amani, usiamini Mtu.

    Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana - Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku na kijana wangu, tukafika sehemu kupata Juice (Juice Point) Kwa amani ngoja niulize bei ya juice...
  8. P

    Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

    Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu, Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli, Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
  9. Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa

    Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze Akikupenda swala la kuonana na...
  10. SMS gani ukiandikiwa na mtu unakereka

    Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk. Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana...
  11. Kila weekend Kuna mtu mahali anagongewa mtu wake

    Thats the truth.. Yani From Friday evening mpaka Sunday Evening kuna mahali mke/mume wa mtu anachepuka mahali😅😅 Kuchepuka kwa % kubwa hufanyika siku za mapumziko (weekend) Hata zile video 400 za Legend Engonga kutoka Gine ya ikweta zilirekodiwa Siku za week end😅😅😅
  12. Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
  13. Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi.

    Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa... Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀 Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
  14. B

    Mtu akiwa anakaribia kukata roho huwa anaona aibu kuangalia usoni watu wanaokuwa karibu yake

    Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa...
  15. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  16. KWELI Kupiga 'Love Bite' shingoni inaweza kusababisha mtu kupata Kiharusi (Stroke)

    Wakuu hii imekaaje aisee? Isije tukauma Watoto wa watu huko mtaani wakafia ghetto au kupata Stroke ile yenyewe sio stroke ya yale mambo?
  17. Je, umeshawahi mkuta mtu anatamka kimakosa neno la kiingereza/ Kiswahili/ jina la mtu hadi ukamhurumia?

    Je, ni neno gani la kiingereza, Kiswahili au jina la mtu ambalo mtu wako wa karibu au mtu yeyote unayemfahamu aliwahi kutamka kimakosa mpaka ukaona aibu kwa niaba yake, Ukamshusha hadhi uliyokuwa unampa au ukamhurumia. Binafsi nimekuwa nikitana na watu tofauti tofauti wasomi na wasio wasomi...
  18. Dalili saba zinazoonyesha kwamba wewe ni mtu wa maana au mwenye thamani

    Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo lakini haikupi sababu ya kuwavunjia watu heshima yao. Pili,unaweza kuhudhuria sehemu kwa muda...
  19. Je Kuna tofauti ya mtu kuwa Communist na mwingine kuwa Marxist?

    Karibuni wanasayansi wa siasa na maswala ya kimataifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…