Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia.
-Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu
Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
casual
familia
hello
jumla
kali
karibu
karibuni
kuanzia
machimbo
mbili
mitumba
mtumtumba
nafuu
nauza
nguo
nguo za mtumba
nzuri
official
safi
unapata
warembo
Happy Sunday
Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni.
Hakuna vigezo vingi
-awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk.
-Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media.
location : Darces salaam
Salary kwa...
Kwa nini hataji shughuli zingine, kama kuendesha shughuli za kiwanda, kusimamia biashara na zinginezo?
Au kilimo na ufugaji cha uzeeni kinalipa zaidi kuliko kile ambacho utawekeza nguvu ujanani?
Mimi nipo tayari kijijini, njooni tulime na kufuga; ila ujiandae kuota sugu mikononi.
Ndipo tulipofikia kama nchi watu wengi hasa dar ma barmaid fuatilia sana wengi wamesoma kama sio diploma basi wana degree.wengi sana kikubwa tu maisha yaendelee inawabidi wafanye hivyo.imagine mtu kamaliza degree ya education 2016 mpaka leo hana ajira je huu ni uungwana?
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama...
Habari wakuu,
Nimepangisha Apartment ya kuishi yenye vyumba vitatu kimoja master, Public toilets jiko kubwa na sebule kubwa. Iko ndani ya fence na Apartment nyingine tatu. Ipo maeneo ya Tegeta Wazo.
Unfortunately nimepata nafasi kwenda kufanya kazi mkoani Mwanza na sitoweza kusafili na hivi...
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa.
Chanzo: ITV
Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
Ni kama mwezi umepita tangu wakazi wa dar wametangaziwa kwamba sasa mradi wa kuboresha maji umekamilika. Matarajio ya watu bila shaka hapatakua tena na mgao.
Lakini la kushangaza bado kuna mgao wa maji sehemu nyingi za jiji. Kila siku ya pili ninapoishi mimi maji asubuhi yanakatwa.
Kwa uzoefu...
Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani.
Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri.
Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza
Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa...
Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki mbili na nusu kwa usiku huo mbaya zaidi chakula changu kala tena cha bei tumeingia room ili tuanze...
Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni.
Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa...
Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha.
Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi...
Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya masaa matatu baada ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) kufika kwenye ofisi hiyo...
Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari!
1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel
imeanza na mkakati wa kuwadhoofisha washirika wake wa karibu, makundi ambayo yamekuwa tishio kubwa kwake. Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.