Habari Zenu wakuu.
Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan.
Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
Si watu wengi au familia nyingi ufuga hawa ndege jamii ya "njiwa".
Mimi binafsi nakuwaga na mawazo tofauti sidhani kama ni mimi peke yangu au na wengine?
Mwenye taaluma au Uzoefu wa House KEEPING ANAHITAJIKA. Kituo Cha kazi ni Wilaya ya MBINGA RUVUMA. Kwa mawasiliano zaidi
0621538913
Mshahara Mnono mnoo.
Karibu sana
Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments kadhaa,na kila mwezi humpa milioni ishirini (20ml) za matumizi tu.
Sasa ebu fikiria,tamu ya mwamba pamoja...
KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII
SEHEMU YA KWANZA
Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi,
wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine wakishuka
kwenye mabasi na daladala wakiwa wamewasili.
Wafanyabiashara wadogowadogo
walikuwa bize na...
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.
Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui...
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo .
CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yaani, “Non-Governmnetal Organizations” yanapokea ruzuku kutoka kwenye vyanzo vikuu vitatu, ambavyo ni; 1) Taasisi za ufadhili yaani “funding organizations/foundations” 2) Makampuni ya kibiashara yaani “corporations” na 3) Mtu mmoja mmoja yaani “individual...
Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za Kila msimu ananunua za man u na arsenal
Hello!
Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake.
Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote.
Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa...
Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba...
Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani unapambana na askari unachezea kichapo halafu unakufa Ili wachaga wale mema ya nchi aisee Hilo swala...
Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa?
Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu mwingine akiona anashangaa kumbe fulani huwa hivi.
Wengi huwa wanasearch vitu mbalimbali kama mpira...
Shalom
Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.
Madakari na...
Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi.
Hadhi aliyoipata kanisa Katoliki asiichukulie poa/"for granted". Wakatoliki huwa hawapendi mtu awe mkubwa...
Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane .
Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia.
Sihitaji PESA ila ni kusaidiana.
Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu
Amekuwa akisaidia watu for years.
Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.