Huwa natamani kuelewa vizuri. Sijajua vizuri kama Mbunge analipwa mshahara kila mwezi kwa miaka mitano, lakini ninachofahamu ni kuwa bunge likivunjwa baada ya miaka mitano huwa wanapewa hela nyingi sana, zaidi ya milioni 200 kwamba hiki ni kiinua mgongo.
Natamni kujua ni kigezo gani kilitumika...
Kwa nchi yetu hakuna mambo ya moto kwa mtumishi kucheza nayo kama hayo niliyoyataja.Yaani fanya yote lewa,fanya umalaya,chezea muda wa kazi,kuwa na nidhamu mbovu hayo yote utaweza kuchukuliwa Poa wakakuacha.
Ila aisee usije kujaribu kuipinga serikali kwenye kampeni zake kwa mfano chanjo ya...
Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama...
Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!?
Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
ELIMU YA MIKOPO BENKI
Kumekuwa na malalamiko na vilio kwa baadhi ya watumishi kuhusu mikopo wanayopewa na benki.
Wengi wao wanalaumu mikopo hiyo kuwa ni kandamizi kwao badala ya kuwapa unafuu imegekuka kuwakandamiza na kuyafanya maisha yao kuwa magumu.
Hapa tatizo sio mikopo inayotolewa na...
Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili.
Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?.
Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
Mara nyingi tumekuwa tukisikia habari kutoka kwa wenye dhamana mbali mbali na wananchi wa kawaida kuwa mtumishi wa umma, hakimu, bwana shamba, mwalimu, askari polisi(wanainteract sana hawa na wananchi).
Afisa Mtendaji Kata au Kijiji au Mtaa n.k akikaa kituo kimoja kwa muda mrefu ufanisi wa...
Ndugu zangu watanzania,
Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
Tarehe 28 Machi 2022, Mahakama ya Rufani Tanzania (CAT) kupitia hukumu ya kesi ya Rufaa ya TANZANIA POSTS CORPORATION dhidi ya DOMINIC A. KALANGI (Rufaa ya Madai Na. 12 ya 2022) [2022] inapatikana hapa https://tanzlii.org/tz/judgment/court-appeal-tanzania/2022/154 iliamua kuwa Tume ya...
Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI...
Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki.
Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani!
Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru, Sio kama Sabaya anashindwa kulipa kiasi hicho cha fedha! Ila nafasi yake katika utumishi wa Umma ndiyo...
Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika.
Lakini sasa...
Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine?
Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama.
Msaada kwenye tuta.
Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo.
Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.