Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend!
Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama chake kwa ngazi MKOA ( Mwenyekiti wa Chama mkoa ) angali ni mtumishi wa Umma?
Kama anaruhusiwa, je...
Bandugu salama?
Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka.
Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31.
Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata).
2013 nikaenda Shule na kupata...
"Wengine kwa kujua au kutojua mnaingia mtego wa kupiga propaganda za kiCCM eti “mkosoe kwa staha” really!. Samia Suluhu ni mtumishi wa umma siyo malkia! Mamlaka yote aliyo nayo ni kutokana na SISI wananchi! So tukimhoji, kumkosoa azingatie substance not the style"-Maria Sarungi
Ninakishangaa sana chama ambacho ndicho kinatakiwa kua kinara katika kutii katiba ya nchi lakini kinafumbia na kukumbatia mambo ya ajabu kabisa.
Ni uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi kuona kiongozi wa chama cha siasa tena mwenyekiti wa Wilaya kabisa bado ni mtumishi wa umma tena ni mkuu wa...
Habari!
Mambo yasiwe mengi ngoja niweke mada mezani.
Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa tangu tulipoahidiwa May 1, 2021?
Leo mheshimiwa rais Samia amesikika akisema kuwa hataki kuona rufaa ya mtumishi wa umma ikiletwa kwake baada ya kuwa imeshaamuliwa na Tume ya utumishi wa umma.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, kwa mujibu wa sheria yeye ni mkuu wa utumishi wa umma na pia ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya...
Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu
Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu
Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata...
Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii.
Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
Hivi huu utaratibu wa miaka 4 ambao bila shaka ulianza awamu ya Magufuli (mwanzoni ilikuwa miaka 3), ni mtumishi kutakiwa kuwa amefanya kazi kwa miaka 4 mfululizo tangu apande cheo kwa mara ya mwisho au awe amefanya kazi kwa angalau muda wa miaka 4 bila kujali ni kwa miaka 4 mfululizo au sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.