mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Mtwara: Madaktari wafanikiwa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto

    JOPO la Madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kusini, Mtwara wamefanya upasuaji wa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto wa miaka tisa kwa mafanikio makubwa baada ya kutumia vifaa vya kisasa kufanya uchunguzi na kubaini tatizo hilo. Akizungumza Kwa njia ya simu na chombo kimoja cha habari...
  2. kukumsela

    Maisha yanaenda kasi, kweli timu ya Simba ni yakuzomewa kutoka Mtwara hadi Dar?

    Ameandika Ahmed Ally === Mara kadhaa utasikia shabiki anasema sisi tunaumia kuliko Wacheza ji au Viongozi. Ndugu zangu ilimradi sote tuna damu ya Simba basi wote tunapitia maumivu, kinachotokea ni tofauti ya mtu na mtu kuhimili maumivu. Ndo maana wengine wanalia, wengine wanazimia, Wengine...
  3. Stephano Mgendanyi

    Uwekezaji Bandari ya Mtwara Waleta Matokeo Chanya

    UWEKEZAJI BANDARI YA MTWARA WALETA MATOKEO CHANYA Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ( Sekta ya Uchukuzi) Mhe. Atupele Mwakibete, amesema uwekezaji wa zaidi ya shillings bilioni 157.8 uliowekwa katika maboresho ya Bandari ya mtwara umeanza kuleta matokeo kwani kumekua na ongezeko la shehena na...
  4. M

    Mtwara oyeee

    Natarajia kula eid huko gas city. Wapi kuna hotel nzuri ya 80-100k karibu na beach nije kuenjoy na warembo wa kimakonde
  5. Boss la DP World

    Mtwara: TAKUKURU Yamfikisha Mahakamani Hakimu Mkazi, Mussa Esanju kwa Tuhuma za Kupokea Rushwa

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara, imemfikisha Mahakamani, Hakimu Mkazi wa Mtwara, Mussa Esanju kwa tuhuma za kupokea rushwa ya kiasi cha Sh. 50,000 kutoka kwa Mtuhumiwa mmoja aliyefikishwa mbele yake. Hakimu Mussa amefikishwa Mahakamani na kusomewa makosa...
  6. BARD AI

    Mtwara: Atupwa jela miaka 30 kwa kukutwa na bangi nyumbani

    Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kwenda jela miaka 30, Salum Shamte (35), Mkazi wa Libobe wilayani hapa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi. Hukumu hiyo imetolewa siku ya Alhamisi Machi 23, 2023 (jioni) na Hakimu wa Mahakama hiyo, Lucas Jang'andu baada ya kuridhishwa na...
  7. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  8. Ujinga mtupu

    Watu 167 wafanyiwa upasuaji wa mabusha Mtwara

    Wanaume 167 kati ya 200 wamefanyiwa upasuaji wa mabusha Mkoani Mtwara kwenye kampeni ya matende na mabusha iliyofanyika Mkoani humo kuanzia Feb 06,2023 hadi Feb 14,2023 “Mabusha huwapata Wanaume na Wanawake ila safari hii hakuna Mwanamke aliyekutwa na busha”, taarifa imeeleza. Mratibu wa...
  9. Phobia

    Kila munu ave na kwao! Mtoto wa Mtwara mie nimedata kwa mtoto wa Simiyu msukuma nyantuzu! Nataraji kumuweka ndani

    Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la...
  10. JanguKamaJangu

    Mtwara: Vijiji 60 wilayani Masasi havina maji safi

    Vijiji hivyo havina huduma ya maji safi na salama, tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Wakazi wa eneo hilo wameshauri viongozi wa RUWASA kuacha kuchanganya siasa na maji. Diwani wa Kata ya Nang’ang’a, Hams Twalibu amedai Wananchi wamekuwa wakidai...
  11. chizcom

    Sirudi tena Singida, Tabora, Mtwara na Tanga

    Mimi kama chizcom sitarudi hii mikoa naweza kutelekeza familia usipo kuwa makini. Yaani ukapota huko huko kusiko julikana mpaka ndugu wakakutafuta kwenye kipindi cha ITV "yuko wapi". Hawa wanawake wako wanajua kupenda jamani. Halafu tatizo lao ukiwaleta mjini basi umeletea team fisi, wanakula...
  12. BigTall

    Mtwara: Mzazi arejeshewa kichanga alichodaiwa kukitupa porini baada ya kujifungua, hali ya sintofahamu yaibuka

    Kichanga cha siku moja kilichookotwa na Afisa Mtendaji, Haridi Karo wa Kata ya Pachani, Mtaa wa Mtandi - Masasi Mkoani Mtwara kimeibua mvutano kati ya Ofisi ya Ustawi wa Jamii Masasi na Polisi wilayani humo. Mvutano huo umeibuka baada ya Afisa Ustawi wa Wilaya, Leila akishikiriana na Mkuu wa...
  13. Kaka Ibrah

    Naomba kujuzwa bei ya karanga mbichi Mtwara na Songwe

    Naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla katika mkoa wa mtwara na songwe, ktk ujazo wa kilo, debe au gunia zikiwa zimeshamenywa
  14. BARD AI

    Mtwara: Watu 151 wamekamatwa na kilo 82 za Bangi, lita 1915 za Gongo

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Nicodemus Katembo amesema watu 4 kati yao walikutwa na Nyama ya Tandala kilo 21, Nyama ya Swala kilo 50 na Pembe za Ndovu vipande 4. Pia, watuhumiwa walikutwa na mitambo 10 ya PombeHaramu, Televisheni 7, Jenereta 1, Kiyoyozi 1, Godoro 1, Mbao Asili 76, Majiko...
  15. cold water

    Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  16. K

    Kwanini Mtwara wilaya ya Masasi hakuna takwimu za watoto wanaoacha shule?

    Jamani hizi takwimu za wanafunzi huko Kusini Mtwara kuacha shule ni kubwa sana. Yaani zaidi ya wanafunzi 1500, hii siyo ya kufurahia wala kuchekea. Tuwaombee wenzetu. Ila pamoja na haya, mbona wamezitaja Wilaya za Newala vijijini na Newala Manispaa? Masasi nayo ipo Mtwara, mbona haijatajwa...
  17. JanguKamaJangu

    Wazazi wengi wa Mtwara wana tabia ya kubadilisha majina ya watoto kisa talaka

    Zaidi ya asilimia 70 ya wazazi Wilaya ya Mtwara huenda wakakosa haki za watoto wao kutokana na tabia ya kubadilisha majina ya watoto kwenye vyeti vya kuzaliwa, sababu ikitajwa kuwa ni talaka. Akizungumza Oktoba 31 katika kampeni ya kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika Wilaya ya Mtwara...
  18. JanguKamaJangu

    Wauguzi wafutiwa leseni kwa kusababisha kifo cha mjamzito Mkoani Mtwara

    Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosababisha kifo cha majamzito na mtoto wake." Wauguzi hao Elizabeth Njenga na Pascal Mnyalu, walishtakiwa...
  19. Getrude Mollel

    TPDC kujenga Bomba jipya la gesi Mtwara

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35...
  20. J

    Rais Samia kumaliza changamoto ya huduma ya maji mjini Mtwara

    RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya. Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa...
Back
Top Bottom