mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. sanalii

    Polisi walioua mfanyabiashara Mtwara wameshachukuliwa hatua za haraka kama panyaroad?

    Najua watanzania wengi ni wabinafsi hawajali haki za wengine na wengine hawafahaumu,lakin Nchi haiwezi kua na amani kama kutakua na double standard na dhulma kiwango hiki. 1. Kama nchi imeamua kushughulikia uhalifu kwa kuua basi tuanze kupewa taarifa ya akari waliohusika na mauji ya kijana...
  2. Linguistic

    Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

    Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri . Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora. 1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz. . 2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi. . Mabondia wengi...
  3. Getrude Mollel

    Maboresho ya Bandari ya Mtwara chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu yazaa matunda.

    Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo. Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
  4. N

    Serikali inaendelea kuboresha Bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mkoani Mtwara imepokea meli mbili zilizoshusha mtambo wa kupakulia mizigo mizito bandarini. Mitambo hiyo inauwezo wa kwenda chini ndani ya maji kwa zaidi ya mita 45, meli zilizoleta mitambo hiyo zimetoka Ireland na Dubai (UAE) Mtambo huo utasaidia kuongeza kasi...
  5. Suzy Elias

    Ni nani waliuza gesi yetu ya Mtwara?!

    Vipo vitu Nchi hii ukivifikiria hakika unaona wazi vinaaksi ujinga wetu na kwayo ndiposa Viongozi wetu huwa wanautumia uzwazwa wetu kutupiga. Mfano hilo la gesi ya Mtwara, kwa mjibu wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haina chake kwenye gesi yetu wenyewe na alitueleza bayana wajanja walishatupiga...
  6. BARD AI

    Mtwara: Wazazi wanawaficha watoto wenye VVU

    Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani. Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
  7. Greatest Of All Time

    Mzee Somo wa Simba afariki Dunia, kuzikwa leo Mtwara

    Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku. Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa na mahaba mazito na klabu hiyo. Mzee Somo atazikwa leo kwao mkoani Mtwara. Apumzike kwa amani.
  8. JanguKamaJangu

    Mtwara: Hofu ya mauaji ya kikatili Wasichana yatanda Masasi

    Mfululizo wa matukio ya mauaji ya kikatili hasa kwa Wasichana yaliyotokea hivi karibuni Wilayani Masasi Mkoani Mtwara kumetajwa kusababisha taharuki na hofu kwa wenyeji. Kwa mujibu wa taarifa za vifo hivyo tangu Januari hadi Agosti mwaka huu wasichana watano na mvulana mmoja wamekutwa wameuawa...
  9. Poppy Hatonn

    Madiwani Mtwara wadai kukuta ujumbe wa vitisho nyumbani

    Mtwara. Madiwani watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao. Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’...
  10. Rashda Zunde

    Uboreshwaji wa Bandari ya Mtwara umeleta mageuzi

    Uboreshwaji wa bandari ya Mtwara umefanya kuongezeka kwa biashara ya makaa ya mawe kutoka Kusini mwa Tanzania na kuipa Bandari ya Mtwara ambayo ni ya 3 kwa ukubwa nchini maisha mapya. Uwekezaji wa kimkakati wa serikali katika uboreshaji wa Bandari ya Mtwara umegeuza bandari hiyo kuwa tegemeo la...
  11. Getrude Mollel

    Matengenezo airport Mtwara kumalizika wiki ijayo, yafika 92%

    Serikali ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuboresha viwanja vya ndege nchini kutanua wigo wa kibiashara ili kuinua uchumi nchini. Katika ya viwanja vya ndege vilivyofanyiwa Marekebisho nchini, kiwanja cha Mtwara matengenezo yake yamefikia 92% ambapo barabara ya kutulia ndege ilitanuliwa...
  12. JanguKamaJangu

    Wanafunzi watano wa shule nyingine walipewa lifti katika basi la shule lililopata ajali Mtwara

    GARI ya Shule ya King David lililopata ajali jana eneo la Mjimwema, manispaa ya Mtwara Mikindani, mkoani Mtwara na kuua watu 13, lilikuwa pia likiwapa lifti wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mikindani. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shule ya Mikindani, Jacob Godfrey, aliyeeleza kuwa katika ajali...
  13. GENTAMYCINE

    Kama kawaida yetu 'Waswaholi' Ajali ya Mtwara imeua Wengi, ila sasa Wote tuko tu kwa Mzazi aliyepoteza Watoto wake Wawili

    Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki. Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
  14. peno hasegawa

    Ajali iliyoua wanafunzi Mtwara, Haice ilikuwa na watu 30. Haice inaruhusiwa kubeba abiria wangapi?

    RTO Mtwara watanzania wanasubiri majibu ya swali hili.
  15. Boss la DP World

    MTWARA: Basi la Shule ya King David lapata ajali, watu 10 Wamefariki na wengine 19 Wakijeruhiwa baada ya gari 'kufeli breki'

    Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60) Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
  16. Boss la DP World

    Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

    Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara. Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli. Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul...
  17. Lady Whistledown

    Padre afariki akiendesha Ibada ya Mazishi Mtwara

    Mchungaji wa Kanisa Katoliki kijiji cha Liputu, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Laurence Milanzi amefariki Dunia maeneo ya makaburini alipokuwa akishiriki mazishi ya mwanakijiji mwenzao aitwae Daudi Veno Mashuhuda wa tukio hilo wanasema mchingaji huyo alianguka ghafla wakati...
  18. N

    Serikali Awamu ya Sita kuifungua Mtwara?

    Katika sera ya utawala bora ni pamoja na kuhakikisha maendeleo sawia katika kanda zote za nchi husika. Ni ukweli usiopingika kuwa katika miongo kadhaa iliyopita tangu nchi ya Tanganyika ijipatie uhuru na baadae Tanzania, Moja ya maeneo yaliyokuwa nyuma sana hata baada ya uhuru ni maeneo ya...
  19. benzemah

    Mtwara kuchele, Bandari ya Mtwara yazidi kuleta neema

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza Mpango Mkakati wa miaka mitano (5) (2021/22 – 2025/26), unaolenga kuboresha bandari zote za Tanzania ikiwemo Bandari ya Mtwara. Imeelezwa kuwa kupitia mkakati huo Serikali...
  20. figganigga

    Je, kampuni Kemexon ya Ubelgiji ndiyo inayoiba mafuta na Gesi ya Mtwara?

    Salaam wakuu, Hivi karibuni tumeshuhudia Meli zikianza kubeba Makaa ya Mawe kutoka Mtwara. Watu wakadai Makaa ya Mawe Tanzania inayauza kwa kila tani moja ni Elfu sitini za kitanzania huku Soko la dunia kila tani ni Dola 300 zaidi ya laki saba za Kitanzania. Hivyo ikaonekana huu mkataba ni wa...
Back
Top Bottom