muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

    Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao...
  2. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria yafungia Twitter kwa muda, yatumia Twitter kutoa tangazo la kufungwa kwa Twitter

    Serikali ya Nigeria imefungia kwa muda usiojulikana huduma za Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa madai ya Mtandao huo kutumika kuhatarisha uthabiti wa taifa hilo. Tangazo rasmi la kufungiwa kwa mtandao huo limetolewa siku ya Ijumaa na Waziri wa Habari na Utamaduni, Alhaji Lai Mohammed kupitia...
  4. JamiiForums Tanzania Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

    Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa muda wa miaka 6. Mimi kinachonishangaza anamsifu waziri Kalemani na wakati wote huo wa miaka 6 GFI...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mawe makubwa yametegwa barabarani mlima Salanda muda huu

    Polisi nendeni haraka! Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo. Inauma kumkosa Magufuli!
  6. JamiiForums Tanzania Kinachomgharimu Mugalu ni kuwa eneo sahihi muda wote

    Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila akafunga goli moja tu. Tukirudi kwa Kagere yeye akipata nafasi ya kufunga katika mbili atatupia at...
  7. JamiiForums Tanzania Unabadilisha mswaki baada ya muda gani?

    Hua unabadilisha mswaki baada ya muda gani? ====== Mada unayoshauriwa kusoma:Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?
  8. JamiiForums Tanzania Andrea Pirlo atatimuliwa kazi Juventus muda wowote kuanzia sasa

    Ripoti kutoka Italy zinasema kocha wa timu ya Juventus na staa wa zamani wa timu hiyo, Andrea Pirlo atatimuliwa kazi muda wowote kuanzia sasa! Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya msimu huu huku wakimaliza nafasi ya 4 katika Serie A. massimiliano Allegri kocha wa zamani wa timu hiyo anatajwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

    Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotamani kumuua jirani yangu aliyenipora sehemu ya kiwanja changu

    Habari wadau..! Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani. Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu. Hauwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Muda wa kuomba ajira za walimu na watu wa afya waongezwa

  12. JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

    NILIWAHI KUMWAMBIA HAYATTI MAGUFULI, LEO NARUDIA KWA RAIS SAMIA, ILI ASIJEPOTEZA MUDA WAKE. Na, Robert Heriel Niliwahi kuandika hapa miaka mitatu iliyopita, niliipa makala ile kichwa kisemacho "Rais Magufuli unapoteza muda wako tuu" katika makala ile watu wengi walinitukana, wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Malawi kuharibu chanjo 19,000 za Covid 19 zilizopitisha muda wa matumizi

    Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano. Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na hakuna data ya kutosha kujua ikiwa ni salama kutumiwa, kufuatia mwongozo kutoka kwa Shirika la Afya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

    Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu. Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe. Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mechi Ya Azam FC na KMC Wabadilishwa Muda.

    Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....! Source: Blog Ya SalehJembe. Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Yanga FC wagomea mabadiliko ya muda wa mechi

    Yanga naona wanajitambua, hawataki kupelekeshwa.
  17. JamiiForums Tanzania Jifunze hapa jinsi ya kuzivuta fursa na kuzitumia ndani ya muda mfupi

    JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi. Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa? Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini? Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo. Angalia...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Ifike muda mindset zetu afrika zibadilike

    Kuna jambo Africa hua tunazingua kbsaa. Africa tunapenda kuonewa huruma kulalamika sana na ku pretend kua sisi ni wema kuliko mataifa mengine Siku hizi kuna wimbo wa ukoloni pamoja na mabeberu baadhi ya watu hutumia picha enzi za biashara ya utumwa ili kujenga chuki Wengi huona km mataifa ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa muda mrefu

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
  20. JamiiForums Tanzania CCM mpya mwacheni Rais Samia afanye yake, huyu ni Rais wa nchi sio wa CCM. Mlivyolivuruga Taifa inatosha, ni muda wa nchi kufufuka

    Wanajamvi Salaam, Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT. Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi. Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…