muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  2. U

    News alert baada ya Sabato kumalizika, Israel yaanzisha mashambulizi mapya muda huu yakilenga na kusambaratisha maeneo zaidi ya 180

    Wadau hamjamboni nyote? Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo takribani 180 Taarifa kamili hapo chini New wave of strikes in Lebanon as Israel braces for potential...
  3. GENTAMYCINE

    Naogopa sana kuna Mtu akijifanya tu anakupenda au anakusifia basi jua muda wowote tu anaenda Kukutumbua

    Nakumbuka mno Waziri Mmoja aliposifiwa kuwa anajua Kuzungumza na Kupambania Jambo na Kesho akatumbuliwa. Na mpaka sasa haamini kwani alikuwa ameshaota Mapembe tayari huku akijiamini kwakuwa ana Waganga wazuri wa Kwao na alikuwa akimsaidia katika Umafia fulani ila akaliwa nae Kichwa mazima.
  4. Magical power

    Dunian hapa ukitaka kupoteza muda wako we jarbu kutafuta usawa katika mapenzi

    Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo vyake anavyopenda kwa mtu ana madhaifu yake, na ukiachana na hayo yote ukishaambiwa hiki kitu...
  5. Last_Joker

    Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
  6. Eli Cohen

    Mfundishe mwanao kujua upande mwingine wa dunia kwa kumuonesha chaneli za tv kama nat geo, history, etc sio kila muda ni komasava

    Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake. Anyway sio...
  7. F

    Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
  8. hp4510

    Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

    Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now. Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata. Sasa kama waliplan...
  9. Komeo Lachuma

    Huyu Mwandishi kuna kitu anakitafuta kwa Yanga. Atakipata tu muda si mrefu

    Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana. Naona kama anatumika kutudhalilisha Yanga. Ni mpuuzi sana.
  10. Webabu

    Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

    Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel. Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya...
  11. Webabu

    Muda umefika kukaa ukumbini kuangalia televisheni ni dalili za umasikini

    Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka magazeti makubwa duniani ikabidi yapotee au kujibadili kuwa ya kielektonik. Miaka si mingi sana na redio...
  12. JamiiForums

    Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
  13. Roving Journalist

    Pre GE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  14. Andazi

    iPhone 16 zimetoka muda wa kuumia tena umefika

    Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing ileile na ai features Karibuni tuchangie mada tusiwasahau walionunua iphone 16 used makumbusho
  15. trojan92

    Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

    Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi? Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako? 1. JK Nyerere 2. Ali Hassan Mwinyi 3. BW Mkapa 4. J M Kikwete 5. JP Maguful 6. SS Hasani
  16. GENTAMYCINE

    Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

    Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
  17. GENTAMYCINE

    Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  18. Nehemia Kilave

    Kuna muda inabidi tulazimike kumuelewa Chief Godlove na maneno yake

    Kuna muda anakuwa na madini sana na kijana ambae kwa uwazi bila kupepesa anaonesha kuuchukia umaskini.
  19. Trust me ankali

    Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  20. G

    Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

    BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana. KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
Back
Top Bottom