Kwa siku za hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiiomba sana Ujerumani wawapatie vifaru vya kivita aina ya Leopard 2 Tanks ambavyo wengi wa wataalam wa kivita wanaamini kwamba vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika vita kati ya Russia na Ukraine.
Sasa ni kwa vipi silaha hii inaonekana kama "Game...
Nimeona nikumbushie kidogo kutoka katika Historia kuwa Tarehe 16 March 1938, Hitler alivamia eneo la Czechoslovakia la Sudetenland kwa madai kuwa eneo hilo lilikuwa na wajerumani wengi ambao walikuwa wakionewa na utawala wa Czechoslovakia.
Wakati huo Hitler alikuwa na jeshi kubwa sana kiasi...
Sherehe za Uhuru na Sasa mapinduzi, zinaadhimishwa kwa kupanda miti/kufanya usafi. Nadhani uadhimishaji wa sherehe hizi uwe na mlengo wa kiuchumi. Yawepo mawasilisho ya kiuchumi kwa lengo la kusogeza nchi mbele. Maazimisho ya magwaride yanaweza kuwepo, lakini test ya kiuchumi ni muhimu...
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA
Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na...
Heri ya X Mass.
Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani.
Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA.
Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
Ilikuwa kwenye video ikitembea. Ilikuwa kikao nadhani kilifanyika dodoma mwezi huu wa 12, 2022.
1. Walimu waajiliwe wale wenye ufaulu mkubwa tu.
2. Walimu walioko kazini wapewe mafunzo ya mara Kwa mara lakini pia watatazamwa competence Yao kazini.(aliyasema haya Mh mhagama kule manyara kama...
CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi.
Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao:
- Janga namba moja kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.