Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi pale kifo kitawatenganisha. Ukiacha kumuongoza ndo mazoea huanza.
Wote mnakosa hamu ya kimapenzi kwa...
Habari wakuu, hamjambo?
Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila siku katika jamiii.
Nimetatizwa na jambo nikaona sio vibaya kama nitapata ufafanuzi kiasi. Hivi...
Habari zenu wana JF wenzangu
Bila kupoteza muda ndugu zangu inajulikana wazi kuwa kila binadamu yupo hapa duniani kwa siku zake maalum za kuishi, na baada ya siku hizo kuisha atakufa na kurudi kule alipotokea.
Sasa basi.. ingawa kifo kipo lakini hakuna anaependa kufa au kufiwa. Hii ni kwa...
"Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu ambazo Manula hayupo,”
"Huwezi jua, unaweza onyesha performance yako kwenye mechi ya kesho kwa sababu...
Yafuatao ni maoni na mtazamo wangu binafsi juu ya uwepo wa haja kubwa ya Marekebisho ya haraka ya Katiba yetu ya JMT kulingana na mahitaji ya sasa. Marekebisho haya yafanyike haraka na mapema kabla ya Uchaguzi wa 2025 kwa sababu tunakoelekea kwa sasa hivi ni hatari zaidi kwa amani na Usalama wa...
Na hiyo Misiba ya hapa na pale ikiwatokea / ikitokea tu Mechi yoyote Ngumu inayokuja Yanga hushinda na pia hucheza Mpira mkubwa mno na wa Kuvutia.
MINOCYCLINE nimesahau naomba kama hamtojali mnikumbushe Yanga SC inacheza Mchezo wake mwingine lini na wapi ili niishuhudie ikienda Kushinda...
Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume.
mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
Watanzania hatuongopi mpaka tugombezwe, huu ndio utamaduni na Rais amegundua kwamba kuna wakati lazima uonyeshwe ukali sana kwa mabadiliko kutokea.
Tatizo sio mifumo tena ni wezi unao anzia juu hata makatibu wakuu, wakurugenzi nk nao ni wala rushwa .
Wakati mwingine wana hujumu makusudi kama...
Kama ukiwa huna Akili Kubwa na siyo Critical Thinker kamwe Siku zote hutoweza Kumuelewa Genius Mwingine wa Kizanaki Waziri Mkuu, Kada Mwandamizi wa CCM na Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa yale ama anayoyaona au ayasemayo.
Amesema na Ameshasema mengi ila kwa leo GENTAMYCINE (Mzanaki...
Mpira ni ajira na burudani kama burudani nyingine. Mpira ni ajira kwa kuwa Kuna watu wanapata pesa kutokana na mpira kama mishahara ya moja kwa moja na wengine hupata pesa kwa kuwauzia bidhaa (jezi, vuvuzela, maji, pombe, juice, vyakula, tiketi, usafirishaji wa wanaoenda na kutoka kwenye mpira...
Uchumi unapolingana Kati ya mataifa mengi au Kati ya watu wengi Katika jamii huibua mashindano ambayo Mara nyingi matumizi ya nguvu huonekana na kusababisha machafuko na vifo
Ushirikishwaji wa wananchi ni mchakato wa kuwahusisha na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi ya serikali na mipango ya maendeleo. Hapa kuna baadhi ya faida za ushirikishwaji wa wananchi:
1. Kuimarisha Utawala wa Kidemokrasia
Uhusishwaji wa wananchi unaimarisha utawala wa...
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.
Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za...
Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na ina athari mbaya kwa uchumi, maendeleo ya kijamii, na utawala wa sheria. Tanzania imeshuhudia matukio mengi ya rushwa katika miaka ya hivi karibuni, na taarifa zinaonyesha kuwa tatizo hili linaweza kuwa kubwa kuliko inavyofikiriwa.
Kwa mfano, ripoti ya...
Habari za usiku Wana Jf hope wote ni wazima poleni na majukumu ya kujitafutia riziki,
Niende kwenye lengo la Uzi,
Napenda kushauri serikali yangu na wadau mbalimbali kuwa ni Wakati sasa sahihi kuanzishwe na somo la mahusiano na mapenzi katika mfumo wetu wa elimu, kuanzia level ya primary hadi...
Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba
Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor.
Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.
Kuna...
Viongozi wote waliofanya vizuri ni waliosoma Arts katika Level kubwa za Urais.
Kitendo Cha Mtu kuwa Rais na hajui kingereza madhara yake ni kujifungia ndani na kushindwa kuinganisha nchi na mataifa ya nje.
Tuwekeze Sana katika haya masomo ili tuondoe tatizo la watu kukosa lugha ya mazungumzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.