Rafiki yangu mpendwa,
Leo ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwangu.
Tarehe 06/06 ndiyo siku ambayo nilizaliwa, hivyo leo tarehe 06/06/2023 nimetimiza miaka kadhaa ya kuwa hai hapa duniani.
Kwa miaka hiyo michache, nimejifunza mengi sana na pia nimekazana kuwa na mchango kwa wengine kadiri ya uwezo...
Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka.
Bac muhusika akaniahidi...
Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo.
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne.
Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!.
Mara tu baada ya kuianza hiyo...
Haya maisha yana mengi, eti niwe jambazi kama Gabi wa UMUGHAKA, Niue watu, niwatapeli watu kwa kuwapa hela feki. Niwe mchawi, nizini na wake wa watu na watoto wao niwape mimba, kisha mizikatae hizo mimba.
Niibe mali ya umma, pesa ya kununua madawa ya watu masikini nikaifiche Switzerland 🇨🇭...
siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani...
Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs..
Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0
Na Kila mtu aseme ameen
Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images
UTANGULIZI
Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan, uongozi bora ni labda sababu muhimu zaidi katika kufanikisha malengo haya. Kwa hiyo, ni muhimu...
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba...
Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi.
Kwanza, Kuanzishwa kwa...
Rushwa katika mipango ya maendeleo ya mijini inaweza kuwa chanzo cha umaskini, ukosefu wa usawa, na ukosefu wa haki katika miji ya Afrika. Ingawa rushwa katika ngazi ya miji sio jambo jipya, inaonekana kuongezeka kadri viwango vya ukuaji wa mijini vinavyoongezeka duniani.
Hii ni dhahiri sana...
Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili.
Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
Toka Turkey mwaka 2015 namba 106 kiuchumi katika nchi masikini za ulimwengu wa tatu hadi nchi za G20 bora kiuchumi duniani chini ya chama cha AKP chini ya uongozi wa Rais Recep Tayyip Erdoğan.
Turkey imetoka kuwa nchi iliyoyokuwa imeelemewa na deni la taifa la kiasi cha dola 50 bilioni na...
Tangu vita baina ya majirani hawa walili ianze imenifanye niwaze nikwanini Uingereza amekuwa sehemu muhimu sana kutoa msaada wa hali na Mali kwa Ukraine kuweza kukabiliana na urusi, kuanzia magazeti yake propaganda, mafunzo kwa Askari, upishi wa propaganda, silaha hata kutoka makazi kwa...
Bernard Morrisson BM3, the gifted one, King of Football ni mchezaji mwenye kasi/pace/speed na jitihada ya dhati ambayo Yanga ilikuwa inaikosa kwa muda mrefu,Benard Morrisson anajua kucheza kikubwa na kimalengo,hii ndiyo inayotakiwa katika hizi klabu kubwa hapa nchini, sina shaka na Simba ambayo...
Mie ninafanya biashara za sendol za kimasai, ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya sendol.
Ila kabla sijaweka muhuri nishaurini Tadhali
SEKTA BINAFSI NI NYENZO KATIKA KUIBUA MIPANGO NA FURSA ZA KIFEDHA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema ushiriki wa sekta binafsi chini ya ubia kati ya serikali ni nyezo muhimu katika kuibua mipango mbalimbali ikiwemo fursa za fedha za kugharamia...
TANGAZO MUHIMU
Mwaliko wa kushiriki Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Sweden utakaofanyika Tarehe 9 Mei hadi 11 Mei 2023 Nchini Sweden.
Kuna sheria au utaratibu unaotaka mtu anayedhaminiwa mahakamani kulipa hela ya fomu ya dhamana tena kwa watuhumiwa wote.?
Huyo aliyesema mahakama ya mwanzo songea.
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka mikwara kama yote na kuahidi ushindi.
Lakini hali imekua ngumu, ameshindwa hata kuteka kamji ka hovyo tu...
Siwatetei Wakoloni, lakini, nafikiri kulikuwa na umuhimu wa wao kutawala baadhi ya nchi kwa kipindi hicho, hasa za Kiafrika, kama walivyofanya. Walinufaika na rasilimali za Afrika, lakini Waafrika nao hawakubaki kama walivyokuwa. Wamechangia mabadiliko chanya.
1. Walisadia kutokomeza baadhi ya...
Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar.
Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.