Awali napenda kusema mimi si chawa wala mshabiki wa chawa wa DP world na si mfuasi wa Dr Slaa au Mwabukusi bali natoa maoni yangu kama nilivyochambua masuala yalojitokeza hususan suala la kukamatwa Dr Slaa na Mwabukusi na wenzao na kisha kubadilishiwa makosa kutoka kuwa ya uchochezi hadi kuwa ya...
Leo, nimetenga muda wangu kupitia maoni ya ndugu zangu kuhusiana na changamoto juu ya mabasi yaendayo kasi, ni dhahiri kuwa ni jambo ambalo kwa sasa linahitaji kutiliwa maanani kwa sababu hata mimi leo nime_experience hizo changamoto hadi nikaamua kughairi safari ilihali nilikuwa nmeingia ndani...
1. JIFUNZE KURIDHIKA.
Mchezo wa Kubashiri, ni moja katibya mchezo wenye matamanio na wenye mvuto mkubwa sasa, Sasa brothers, wawekezaji, Jifunze kuridhika kile ulichokipata Baada ya Kubet Usibet kwa Tamaa, Utapunwa nakuambia.
2. STAKE KIASI AMBACHO UNAUWEZO NACHO.
Usistake kiasi kikubwa for...
Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili kusaidia kuchakata na kuongeza thamani mazao yanayolimwa nchini ikiwemo matunda kwa mahitaji ya soko la...
Haya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe;
1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu.
2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa...
Kileta bahati cha Michezo ya Kimataifa ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ya Majira ya Joto ya Chengdu “Rong Bao” kimepata jina la Kiswahili la “Jasiri”, ambalo linaonesha matarajio ya watu wa Kenya kwa wanariadha wa nchi hiyo kupata mafanikio makubwa katika michezo hiyo, na pia kuelezea urafiki kati ya...
Naomba nitoa maneno machache hasa kwa wapotoshaji
1. Uwekezaji ni muhimu sana kwenye bandari yetu ya Dar na nyinginezo.
2. Mikataba yenye maslahi kwa taifa nayo ni muhimu sana kwa taifa letu.
Hivyo badala ya kulumbana na wananchi serikali ishirikiane na wadau na wale wanao lalamikia mkataba...
TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO.
TEKNOLOJIA NI NINI?
Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha ya kigiriki “technología“ lenye maana ya maarifa ya ujuzi, sanaa na ufundi yaliyowekwa katika...
Ndugu zangu hivi kuna goli tamu kama la kwanza?
Sisi wanaume huwa tunaenjoy sana goli la kwanza baada ya hapo huwa tunajitutumua tu kuweka heshima.
Vivyo hivyo kwa wanawake au nakosea dada zangu?
Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania. Bila uwajibikaji na utawala bora, ni vigumu kwa nchi kufikia malengo yake ya maendeleo.
Uwajibikaji ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako. Utawala bora ni mfumo wa utawala ambao unazingatia kanuni za uwazi, uwajibikaji, na...
Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya uchumi na uwekezaji. Uwajibikaji husaidia kuhakikisha kwamba serikali inatumia rasilimali zake kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma. Utawala bora husaidia kuhakikisha kwamba serikali ni wazi na inawajibika kwa matendo yake.
Kuna njia...
Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii.
Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha.
Gharama za kugharamia...
Wazo hili nimelipata baada ya kupata maoni tofauti tofauti kutoka kwa baadhi ya vijana wa kitanzania tena wasomi kuhusu mchango wao katika siasa na hali halisi iliyoko kwa sasa.
Inasikitisha kuona kwamba hata wenye elimu na mwanga hawana muda wala uelewa wowote, wenye chachu na hamasa ya...
Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi.
Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku...
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi.
Ni kuhusu suala la DP World.
===
===
MKUTANO UMEANZA
Askofu Mwamakula anazungumza...
askofu mwamakula
conference
dr slaa
mdude
mdude nyagali
mjadala dp world
mkutano
muhimu
nukuu
nyagali
press conference
slaa
waandishi
waandishi wa habari
TUJIKUMBUSHE baadhi ya maswali ya kujiuliza hasa kwa vijana;
1. Unaishi kwenye maadili mema au tabia zako una mashaka nazo?
2. Mpenzi/mchumba uliye naye utafika naye kwenye ndoa au mnakulana tu? Utamuoa huyo binti/utaolewa na huyo kijana?
3. Wewe kama mtumishi wa Mungu unatenda yale...
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
Kutoka kwa Casto news.
𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗧𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗞𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗔𝗠𝗞𝗘𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗟𝗢
Nimeona posti ya mwekezaji wa makolo analalamika kuwa anakwamishwa na atajitoa,,Okay hapa staki kuongea kishabiki wala kimasihala Bali nataka kuongea Kama mwananchi ambaye napenda kusimama Kwenye ukweli.Ebu tuanzie hapa...
Hello 👋
Kuna vitu vitatu hapa je wewe kwako kipi ukikosa unapata tabu
MB?
Dakika za maongezi?
SMS?
Mimi nikokosa MB napata homa naona simu ni kopo tu je kwako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.