muleba kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Muleba Kusini adaiwa kugawa fedha kwa wananchi

    Wakuu! Kuna hii video ya Mbunge wa Muleba Kusini anayedaiwa kugawa fedha kwa wananchi. Baada ya miaka mitano, leo Mbunge huyo, Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, amerudi jimboni na anawagawia wananchi elfu kumi, kumi. Kilichoniuma zaidi ni kuwaona wananchi wakikubali kupanga foleni ili wapewe...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanasheria wa zamani wa Yanga, Simon Patrick achukua fomu ya ubunge jimbo la Muleba Kusini

    Aliyekuwa mwanasheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick amechukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Muleba Kusini. Simoni amekabidhiwa fomu leo Julai 2,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Muleba Kusini, Agnes Kasela. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…