MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:-
Mwanaume aliyekutoa Bikra [aliyeku'bikiri], hapa hata kama wewe ni malaika utamu-umiza sana mwanaume, hatokaa asahau, ataumi sana, akikuuliza mpige chenga! Usimwambie kama uliwahi kufikishwa kileleni ama la, kuwa mjinga wa mapenzi...