Dada zangu wapenzi, usichukue mkopo bila kumshirikisha mume wako pliz pliz wata kukweka

Dada zangu wapenzi, usichukue mkopo bila kumshirikisha mume wako pliz pliz wata kukweka

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu.

Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka huyo nduki kwake akaone kunani, kufika watu wanabeba makochi sijui asset mbalimbali, kuuliza, JAMANI mbona siwaelewi?

Akajibiwa, mkuu mkeo kachukua mkopo kashindwa kurudisha, jamaa akashangaa, lakini mimi hakunambia hivo siutambui huo mkopo rudisheni vitu vyangu huyo nime muoa tu mi ndio mwenye maamuzi., kama mume, au mkamateni mwenyewe awepe pesa zenu, mana sijui kazifanyia nini hata sikua na TAARIFA.

Mabody guard wa mkopo wakaanza kumshambukia baada ya kuzuia vitu vyake visichukuliwe, jamaa alishushiwa kipondo mpaka kufa akipigania mali zake.

Baadae mke akafunguka, mi ndio mwenye makosa nilichukua mkopo, nikaenda kununua smart phone, bila kumuhusishaa mume wangu nisameheni.
 
Duh!nini kilitokea kwa mabaunsa je wamefunguliwa hata vimashtaka wafungwe jela !?
 
Back
Top Bottom