Mfano wewe mume ndio ungekua mke, ungekua mke bora kwa mume wako kama wewe unavyotarajia?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Yani
  • Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa.
  • Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe.
  • Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano.
  • Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi kwa hasira alikua wapi.
  • Unafanya kazi zote za nyumban, nyumba safi, watoto unawaangalia.
  • Ndugu zake wakija wewe unachakalika tu na kazi husumbuani nao wafanye kazi au nini.
  • Ukipigwa huondoki kwenye ndoa unabaki ili kulea watoto na kulinda heshima ya ndoa.
  • Unamuonesha mapenzi motomoto,

+mengineyo,
wangapi wangekua wake wema?
 
Screenshot_20260821-224655~2.jpg
 
Wanawake wanateseka sana, ila unakuta wanawake walio loyal kama hao wa nakutana na majinga yanawatumia tu
 
Una dalili za ushoga wewe!!

How can you think this stupid? Kama siyo mawazo ya kishoga?

You better watch your back
 
Yani
  • Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa.
  • Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe.
  • Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano.
  • Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi kwa hasira alikua wapi.
  • Unafanya kazi zote za nyumban, nyumba safi, watoto unawaangalia.
  • Ndugu zake wakija wewe unachakalika tu na kazi husumbuani nao wafanye kazi au nini.
  • Ukipigwa huondoki kwenye ndoa unabaki ili kulea watoto na kulinda heshima ya ndoa.
  • Unamuonesha mapenzi motomoto,

+mengineyo,
wangapi wangekua wake wema?
Hapo kwanza suala la kuwa mke haiwezekani! na hatuwezi kujadili kitu ambacho hakipo. You better watch your back! Mambo 24
 
Mzee wako kila akiangalia pumbu zake na vile viuno vingii kumbe alijibebesha mzigo wa Sam Smith Anachoka kabisa.
 
Yani
  • Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa.
  • Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe.
  • Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano.
  • Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi kwa hasira alikua wapi.
  • Unafanya kazi zote za nyumban, nyumba safi, watoto unawaangalia.
  • Ndugu zake wakija wewe unachakalika tu na kazi husumbuani nao wafanye kazi au nini.
  • Ukipigwa huondoki kwenye ndoa unabaki ili kulea watoto na kulinda heshima ya ndoa.
  • Unamuonesha mapenzi motomoto,

+mengineyo,
wangapi wangekua wake wema?
Wewe huna adabu, muulize Baba yako mzazi this stupidity.
 
Huu mwaka kuna member mmoja sikujua ni shoga yaani linejianika na kupost uongo.
 
Kuna namna una sound logical ila historia yako inafanya niwe na mashaka
 
Back
Top Bottom