Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa...