Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.
Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake.
Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa...
https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs
Siongezi neno.
Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha.
Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa kuna wanawake wengi wameuawa na wanaume wengi tu.
Je hapa ni kile kisa cha mbwa kumng'ata mtu ikiwa...
Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa
Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya anapoishi au makusudi tu
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.
Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
Kuna ustawi wa...
Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa.
Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko...
Kwa wana JF ambao wako kwenye miaka yao 50 kwenda juu, watakuwa wanamkumbuka Helena mwanamke habithi mke wa rais wa Romania aliyeuawa pamoja naye Nicolae Causescu.
Huyu mama alipenda udaktari. Alitumia madaraka ya mumewe kulazimisha vyuo vimtunuku shahada za heshima.
Hakuishia hapo...
Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,,
Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga +...
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme
👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?
👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki
Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata
👉Mzee Kigunge alianza...
Wakuu
Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023
Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao
Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka.
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya ya Malinyi, Mkaguzi wa Polisi Michael Rasha, ameguswa na hali ya mama wa watoto nane, Belita Deus...
Nawasalimu.
Ama baada ya salamu.
Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha.
Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu unaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Miezi kadhaa nyuma aliamua kuongeza mke wa pili.
Tukio lile lilileta...
Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂
Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
Chukulia huu mfano:-
Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.
Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha...
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji).
Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa...
Mwanamke aliye kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 na bado ana vigezo hivi ama mojawapo ya hivi
Dharau
Majibu ya hovyo
Kiburi
Muongo
Mgomvi
mchawi
Infidel
Hakikisha unakimbia, achana naye maana hakuna anayeweza kumbadilisha zaidi ya yeye mwenyewe kuamua kubadilika. Hakuna lugha nyepesi ninayoweza...
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
Habarini wajukuu wema na wabaya. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa.
Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa tendo la ndoa, hakuwasikiliza. Sasa yamemfika. Anadai kuwa wanaweza kukaa hata miezi sita bila...
Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.
Inasadikika kuwa chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.