Hapa ninapopanga, jirani yangu usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo kikali sana. Huyu Mwanamke ni mzuri tu, lakini tatizo lake mdomo tu. Tatizo lake ameshindwa kufahamu kuwa, mume wake ni chapombe. Huyu mume wake ni muungwana sana, lakini akilewa ukaanza msumbua lazima atembeze Mandonga...
Kwa majina naitwwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa Kitanzania leo ningependa kuzungumzia sifa za mwanamke alio bora kwa mumewe.
Wote tunafahamu kuwa duniani kila kiumbe hai mungu amekiumba katika jinsia mbili ambayo ni jinsia ya kike na jinsia ya kiume. Ninapozungumzia mwanamke bora...
Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles walisambaza picha mbaya za ajali za nyota huyo wa NBA, na binti yake, pamoja na wahanga wengine katika...
Jamani mshahesabiwa huko?
Wandugu Kama mjuavyo penye msiba hapakosi kilio... huyu hapa chini ni mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe kwa uchungu...
Wanazengo wengi wametoa maoni yao kwamba hiki sio kilio cha kweli kwani mliaji wa ukweli hawezi kulia na miwani, pia mliaji wa kweli anatoa...
Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.
Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
Africa ya Kusini Huko,
Pastor Aliamua Kum propose Mjane pale pale msibani kabla hata ya msiba kuisha. Amedai Hiyo itamsaidia pia ku heal kutoka kwa majonzi.
Pastor alisikia akimshukuru Mungu haswa kwa kuwa karibu na mjane katika wakati mgumu Akimuuguza Aliyekuwa mme wake, Shirika la habari...
Sifa moja ya mwanamke ni kujua kupika
Kuna hii story ya Manka aliolewa na jamaa wa pwani akaachiwa mazagazaga na mumewe akaabiwa apike wali nazi.
Alichofanya anakijua mwenyewe, nazi ikawekwa nzimanzima kwenye wali. Manka anawakilisha wanawake wengi msiojua kipika.
Kuna wakati wanaume...
Wakaazi wa kijiji kimoja nchini Zambia wameachwa na mshangao baada ya mwanamke kuolewa na jirani yake wa karibu wakati mume wake wa miaka mingi mumewe alipooza Rabison Mawere kutoka mtaa wa Mtendere mjini Lusaka alisema aligundulika kuwa na ugonjwa ambao ulimuandamana Oktoba 2021.
Akizungumza...
Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018.
Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
Songea. Helena Mchauru (40) Mkazi wa Mabatini Tunduru anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini.
Akizungumza na Mwananchi kamanada wa polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Joseph Konyo alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwezi uliopita majira ya...
Lydia Nyaguthii, muuguzi wa Hospitali ya Tumutumu PCEA, Kaunti ya Nyeri ameuawa na mwenza wake, Stephen Muriithi ambaye walikuwa kwenye uhusiano kwa miaka 20 baada ya kukutana hospitali wakati Stephen alipofika hospitalini hapo kupatiwa matibabu
Lydia alimhudumia Stephen aliyemwagiwa maji ya...
Inaelezwa tukio hili lilitokea Mbarali, mkoani Mbeya bila kuripotiwa.
Hiki ni kisa cha kusikitisha cha mtoto wa miaka minne, *Jane Mwikila (si jina halisi), aliyebakwa na baba yake wa kambo na kuharibiwa sehemu za siri huku mama yake mzazi akisaidia kutekelezwa kwa unyama huo.
Elias...
Kwanza nawasalimuni nyote kwa jina la Jamii Forums nanyi itikieni mahusiano mapenzi na urafiki vidumishwe.
Kuna rafiki angu kijana lika langu japo tunazidiana about 2 years yeye ameoa lakini mimi sijaoa. Kwa mara nyingi tunapeana michongo ya pesa na kusaidiana kimawazo na kifedha ili kusogeza...
Mtangazaji na muigizaji, Mwijaku amefunguka sakata la Alikiba na mke wake Amina, akisema kuwa Alikiba hajaitelekeza ndoa yake.
Mwijaku amesema hayo Jumamosi Februari 19, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kutumwa na Alikiba kumuwakilisha kwenye mkutano...
MWANAMKE AKIKOSA UPENDO KWA MUMEWE, HUUTAFUTA UPENDO KWA WATOTO.
Anaandika Robert Heriel.
Yule Mtibeli.
Je uliwahi kusikia maneno Kama hayo hapo chini?
Mama Mkwe kichomi!
Mama Mkwe anaingilia ndoa yangu!
Mawifi wanakera balaa!
Mawifi hawanipendi!
Bila Shaka wengi wetu tangu tungali wadogo...
Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
Salaam kwenu nyote!
Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana.
Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe.
Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili waandae party ya valentine kwa ajili ya mume wao! Inaelekea walitaka kukomesha kwa kuwachanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.