mumewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Uaminifu: Mke ajitunza miaka 17 kumsubiri mume wake atoke jela. Wewe ungeweza?

    Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha. “Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
  2. GENTAMYCINE

    Makonda umewezaje kulia kwa mama aliyepotelewa na mume ila kwa wazazi wa Ben Saanane ukiwa RC wa DAR hukulia?

    Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa. Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.
  3. mlinzi mlalafofofo

    Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
  4. JanguKamaJangu

    Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
  5. Jumanne Mwita

    Morogoro: Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe ili aolewe na mwanaume mwingine

    Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke anayetuhumiwa kula njama na kushiriki kumuua mumewe ili akaolewe na mwanaume mwingine kwa madai ya kutangaza dau kwa atakayetekeleza mauaji hayo kwa nia ya kupata uhuru wa kutimiza malengo yake ya kuolewa. Chanzo: Azam TV JESHI la Polisi Mkoa wa...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kwanini vifo vya Amina Chifupa na mumewe Medi Mpakanjia vilikuwa vina maswali mengi kuliko majibu?

    Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi. Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo. Miaka kadhaa baadae, mume wa...
  7. JanguKamaJangu

    Mke atuhumiwa kumpiga mumewe kwa rungu na kupelekea kifo chake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao. Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
  8. S

    Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

    Kama Raia wa nchi anaweza kuanzisha ofisi yoyote na ikawa halali kikatiba, vipi siku Rais akiamua kuanzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mwenza wake au mtu mwingine yoyote yule kushika wadhifa huo, si pia atakuwa sahihi? Hata kama Katiba yetu inatambua Tanzania sio nchi ya kifalme...
  9. FORTUNE JR

    Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya...
  10. M

    Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

    Aisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe amletee ex wake angalau afurahie tena mapenzi kwa mara ya mwisho kabla hajafariki. Mwanamke huyo...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

    DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi. Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
  12. W

    Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

    Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku. Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
  13. Superbug

    Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

    Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama...
  14. Yofav

    Mke wa jirani amenieleza mapungufu ya mumewe

    Ni katika hali ya story za kuhusu masuala yanayohusu mazingira tunayoishi, Hapa namaanisha kuhusu usafi na mengineyo na Mimi ni single boy hivyo sina wa kusimamia masuala hayo zaidi ya mimi mwenyewe ndipo tukajikuta tunazungumzia masuala ya mahusiano na ndipo mwanadada huyu akaenda direct kwenye...
  15. Mwachiluwi

    Mwanamke amejitoa sadaka kisa mumewe apate kazi

    Hellow Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless Tupokigwe aliona...
  16. Sildenafil Citrate

    Maafisa Kikosi cha Zimamoto na Polisi kumlipa Vanessa Bryant fidia ya USD Milioni 28.8 kwa kusambaza picha za Ajali ya Mumewe

    Vanessa Bryant atalipwa na Maafisa wa Polisi na Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles zaidi ya Bilioni 65 za Kitanzania kwa kusambaza Mtandaoni picha za Ajali Mbaya ya Helkopita iliyoua Mumewe na Binti yake Januari 26, 2020 Kwa kuzingatia Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  17. Dr Count Capone

    VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

    Nawasihi Usioe Mwanamke mpumbavu! Full Part 1 Part 2 Part 3 Eti anasema kabisa “kaiba mishumaa yangu” Aah kmk
  18. DR SANTOS

    Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  19. Pang Fung Mi

    Mke ni mhitajiwa na sio mpendwa kwa mumewe

    Niende kwenye mada, kuoa ni hitaji la mwenza na si pendo la mwenza, mwanaume anaoa ili atimize mahitaji yake ya maisha na kuishi hivyo kuoa ni strategia ya kumpata msaidizi wa kusaidiana kufikia malengo hayo Hivyo uendelevu ni pale mke (mhitajiwa) anavyoishi na kuenenda namna mume ama mhitaji...
  20. Maleven

    Binamu kaja na mumewe msibani lakini analazimisha tuchepuke

    It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu. Tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu. Huku ni kutaka kunivunjia heshima katika familia, imebidi niondoke haraka haraka kutunza hesima yangu. Nilichoamua, ni marufuku...
Back
Top Bottom