Wanaume wamekuwa wakilalamikia baadhi ya wanawake zao kwamba wana midomo na wamekuwa na gubu na ndio sababu kuu ya wengi kuendeleza michepuko. Sasa mimi kwa imani yangu ninaamini kwamba hiyo midomo, kauli chafu na gubu ni matokeo ya mwanaume kuanza tabia chafu, kutomjali mke na kumuoneshea...