Shalom,
Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc.
Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini.
Ni hayo tu
Wadiz