Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite.
Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k
Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino.
Pia soma; Spika Job...
Ex wa Grand P mwanadada Eudoxie hivi karibuni amekuja na muonekano mpya wa mavazi
Mwandada huyu amekuwa kwenye mahusiano na Grand P kwa muda mrefu jambo lililoibua hisia nzito kwa mashabiki wengi ulimwenguni na hata kupelekea mahusiano yao kuwa maarufu sana
Hivi karibuni wapenzi hawa...
Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake
Wanaume wanaonyoa vipara na kumaliza nywele kichwani huwa wana sifa ya kutokuhonga, na wanapenda sana mambo ya chini, mwanamke akimpatia nafasi hatojutia kwa shoo atakayoipata, ila hatapewa pesa.
Wanaume wanaonyoa panki huwa na sifa za...
Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote.
Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya...
Muonekano mpya wa OnePlus Nord N20 5G umevuja, muonekano mpya umebadilika sana na imekuwa katika muundo wa flat-edges kama iPhone 12 na iPhone 13.
Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la Kati/Wastani) itakuwa na muonekano mpya katika sehemu ya kamera, itakuwa na kamera tatu (na sio nne kama...
Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App.
Kwa mtazamo wangu, tatizo ninaloliona linatokana na rangi wanazotumia CRDB ambazo ni nyeupe na kijani...
Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo.
Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
baada
dar
dar es salaam
habari
jiji
jkt
kutolewa
machinga
matukio
mmoja
muonekano
ndani
ondoa
picha
safi
suma jkt
usiku
vibanda
wamachinga
wanyonge
wapi
Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi
Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa mahojiano ya kazi.
Unahitaji kuonyesha mwajiri kwamba unaweza kuvaa kwa hafla rasmi.
Kwa...
Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leather jacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe hata na moja leather jacket kwa maeneo ya Dar kwa sabu mara nying huwa nijoto umaweza ukawa unavaa...
Habari zenu wakuu wa mambo!
Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara,
Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa katika uundwaji wa tovuti hizo.
NATANGULIZA SHUKRANI.
Maisha ya mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na muonekano wa kila siku anaojitahidi kuutengeneza katika mazingira yanayomzunguka. Je, muonekano ni nini? Uwezekano ni nini? Kanuni hii ni siri kubwa iliyo sheheni vipengele muhimu sana vyenye siri ya mafanikio.
Muonekano ni taswira ya nje jinsi...
Habari wanajamvi
Kwa utafiti mdogo niliofanya watu wengi wana mazoea ya kuhusisha muonekano wa mtu na baadhi ya sifa ambazo hazihusiani mfano ujasiri roho ngumu muda mwingine na ukakamavu yani ukiwa na sura ya kazi ni nongwa.
Unaweza ukadhani ukiwa na muonekano mzuri umepona lakini ukiwa na...
Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.