muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Msangi

    Muonekano wangu ndio tatizo

    Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu. Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari...
  2. BARD AI

    PICHA 30: Muonekano wa Miji ya Uturuki na Syria baada ya kupigwa na Tetemeko la Richa 7.8

  3. P

    Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  4. KndNo1

    Kufahamu engine ya gari kwa Muonekano

    Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti.. Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo.. Baadhi ni hizi Prado 70.. Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..! Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ Landcruiser Mkonga Pua mbele.. 1VDFTV...
  5. Mzawa_G

    Muonekano wa dunia yetu katika hali ya Crescent Earth

    Muonekano wa dunia yetu ikiwa katika hali ya Crescent Earth ni sawa na ile hali inayotokeaga kwenye mwezi wetu baada ya sehemu fulani ya mwezi wetu kukosa mwanga wa jua. Katika dunia yetu huwa kuna pande mbili ambapo huwa na utofauti moja huwa na mwanga na nyengine hukosa mwanga ambapo upande...
  6. kmbwembwe

    Kwa muonekano M23 ni jeshi la nchi fulani

    Rwanda ya kagame inacheza game moja chafu sana eneo la maziwa makuu. Kwanza walipovamia congo walipandikiza majasusi kibao congo. Jeshi la DRC Fardc si chochote ni mkusanyiko wa wahuni tu. Nimeambiwa na marafiki majenerali wanajichubua ngozi na wanajaa kwenye mabaa kustarehe tu. Hawana weledi...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kitambi kimeharibu muonekano wangu, wadada hawanitaki tena

    Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia. Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi? Six pack sio kwamba...
  8. kyagata

    Serikali naomba mtofautishe muonekano wa sarafu za shilingi 500 na shilingi 10.

    Hizi sarafu mbili zinafanana mno, kiasi kwamba inakuwa ngumu kwa mtu kuzitofautisha haraka haraka hasa katika mazingira yenye giza. Mfano jana usiku nisingekuwa makini ilikuwa nishikishwe sarafu 6 za shillingi 10 nikidhani ni elfu 3. Serikali fanyeni kitu kuzitofautisha hizi sarafu kimuonekano.
  9. Maleven

    Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano. Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
  10. TECNO Tanzania

    TECNO tumekuletea muonekano wa kipekee wa simu yetu ya mtiririko wa CAMON 19 PRO

    TECNO tumedhamiria kuendelea kuwafurahisha wateja watu kwa kutoa toleo lenye muonekano mpya linalokwenda kwa jina la CAMON 19 PRO Mondrian. Simu hii ina uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia na wakipekee kuwahi kutokea
  11. Kigoma Region Tanzania

    Lubengela village, Kigoma. Kijiji pekee chenye wanawake weupe na wazuri kwa muonekano

    Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha. Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa. Nyumba ni za...
  12. sanalii

    Tusio na muonekano mzuri kwenye picha tunanyanyasika mtandaoni

    Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika hachat vizuri kama mwanzoni alipokua hajaona sura yako, na anaweza aka ku ghost kabisa Social media are...
  13. R

    Wanawake kweli wanapenda pesa ila muonekano wako pia ni muhimu

    Habar wakui Kila uzi humu ukimrefer demu kumzingua mtu humu pesa inatajwa sana lkn pia kuna hiki kitu wengi pia wqnakisahau muonekano wa nje. Ushawah kuta mtu ana mapesa kibao ila anagongewa km kawaida kelele huwa nying wanawake hawaeleweki ndio kauli mbiu sasa soma hhapa. Wanawake ni...
  14. K

    Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

    Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki 1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe...
  15. Maxence Melo

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Wakuu, Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa... Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza...
  16. Zero Conscious

    Kumbe muonekano wa nje unaweza usisadifu yaliyomo ndani

    Habari za Muda huu wakuu. Nina Imani mapambano ya kuusaka mkate bado yanaendelea kama kawaida. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kipindi nilitembelea wilaya fulani Mkoa X kwa ajili ya field yangu ya mwisho, niliyafurahia sana maisha Ndani ya eneo hilo. Nilifikia kwa mama yangu mdogo na kwa...
  17. I am Groot

    Picha maalum: Muonekano wa picha za watoto wakiwa tumboni kupitia vipimo vya MRI na Ultrasound 2D/3D/4D/HD

    MRI ULTRASOUND
  18. papag

    Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake

    Uzuri wa mwanamke ni muonekano wake[emoji817] Kama uzuri wa mwanamke ungekuwa maumbile yake ya ndani basi wanaume wangeridhika na mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :- [emoji830] mwanaume hafiki kileleni kwa ubora wa maumbile ila kwa hisia zake. Hapo ndipo maana ya upendo wa mwanaume hutoweka...
  19. U

    Picha: Muonekano wa kuvutia wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay

    Ni eneo la Mitanga Hakika ni kivutio tosha cha Utalii nchini Hongera Mama Samia Kazi Iendelee
  20. John Haramba

    Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

    Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022. Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo...
Back
Top Bottom