musiba

  1. GENTAMYCINE

    Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  2. Victoire

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  3. Chizi Maarifa

    Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

    Baada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki, je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume? Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo... Membe...
  4. Suzy Elias

    Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
  5. benzemah

    Kufuatia Kifo cha Bernard Membe, Je, nini Kitatokea kwa Cyprian Musiba?

    Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam. Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama...
  6. Sildenafil Citrate

    Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

    Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari. Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda...
  7. Poppy Hatonn

    Musiba aombe msamaha kabla hajakaangwa

    Katika dunia hii watu tunapaswa kuishi kwa upendo na kuhurumiana. Musiba amefanya kosa kwa hiyo aombe msamaha. Unaukumbuka ule wimbo wa zamani,ulikuwa wimbo wa Western au Jamhuri Jazz Band,au sijui nani,walikuwa wanaimba,"Ingawaje wewe ndie mwenye makosa lakini naomba unisamehe". Watu wa zamani...
  8. figganigga

    Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    Salaam Wakuu, Sasa nataka kuona hii ngoma Membe ataichezaje. Bernard Membe Baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe TZS 9.9 Bilioni, kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake, Kampuni ya Yono Auction Mart ilipewa Idhini na...
  9. Mr Q

    SWALI: "Ni akina nani" watakuwa na ujasiri wa kununua mali za Musiba hali wakijua mali hizo zilikopatikana na namna zilivyo patikana?

    Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
  10. M

    Musiba mpaka Sasa hajaomba msamaha, Membe Shikilia hapohapo

    Kwa mara nyingine tena, Dhalimu baada ya kutenda udhalimu wake badala ya kuukabili uovu wake na kutake responsibility yeye anakimbilia kwa maaskofu ili wamsaidie kubeba udhalimu wake. Iko hivi, Hakuna anayepaswa kubeba uovu wa Mwingine. Hata Kanisani mtu anapoungama, hakuna anayeungama kwa...
  11. D

    Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

    Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika. Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
  12. D

    Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete. Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
  13. Jidu La Mabambasi

    Chief hakusamehewa, Sembuse Cyprian Musiba

    Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri. Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake, kutokana na mwenendo wake, kuwa hakika atalamba sakafu. Kati ya wapambe wake wakubwa alikuwa ni Cipuriani Msiba. Msiba masikini hata alikotokea haijulikani...
  14. Father of All

    Musiba aje hapa ajitetee mwenyewe

    Kweli ivumayo haidumu. Hakuna kiumbe alikuwa akikera kwa kujikomba kwa mwendazake kama huyu jamaa aitwaye Cyprian Musiba Rugarabamu wa Rugaimukamu. Sasa yupo hoi ndembe ndembe akikabiliwa na tishio la kufilisiwa uchache wote aliokuwa akipewa kuwakashfu wapinzani wa mwendazake. Kama kuna sehemu...
  15. D

    Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya shilingi 9.2 Bilioni, Bwana Musiba amewaangukia viongozi wa dini Askofu Alex Malasusa (KKKT...
  16. Poppy Hatonn

    Musiba alikuwa anapata habari za kikachero na Membe ni kachero, sasa wanagombana nini?

    Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is...
  17. BARD AI

    Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

    "Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi...
  18. Ntovye

    Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

    Habari Wana jamvi. Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita. Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii...
  19. Boss la DP World

    Tanzanite Tv Haipo Hewani, Cyprian Musiba Simpati kwenye namba zote mbili.

    Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena. Nani anajua kinacho endelea?
  20. Petro E. Mselewa

    Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
Back
Top Bottom