Wakuu kwema.?
Nimeanza kuamini zile hisia za kwamba gazeti hili ni new version ya gazeti la Musiba.
Hii baada ya leo kusikia kuwa wameandika kwamba Polepole hayuko sahihi kuhusu suala la machinga juu ya kile ambacho Polepole juzi kuwahusu.
Good morning.
Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo.
Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa.
My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
“Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni?
Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;
Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
Kuna kipindi kuelekea mwishoni mwa muhula wa 2015-2020 wa JPM, mambo yalikua very 🔥, ni wazi kabisa kulikua na kundi la vigogo kwenye chama na ndani ya mifumo ya dola walikua wanamhujumu hayati.
Katika kutapatapa na kujaribu kum 'flush' nyoka atoke pangoni ili apondwe kichwa, team ya hayati...
Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere.
Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho...
Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao.
Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.
Kulingana na barua hiyo,Msajili...
Hali tete kwenye viunga vya ccm. Taarifa za uhakika kutoka ofisi kuu ya chama hicho zinasema Wakubwa wanalaumiana na hata wengine kufikia hatua ya kukata tamaa. Utumikaji wa Musiba tokea mwanzo wa awamu hii, kumepelekea mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho.
Kilichomtokea Mzee Mangula siku ya...
Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi...
Muda huu maeneo ya Dodoma, inasemekana kuwa mtu mmoja anyefahamika Kama mwanaharakati, Cyprian Musiba, amekamatwa na Jeshi la Polisi Jijini humo kwa kosa la Kusambaza hanari ya kutaka kuuliwa katika magazeti bila kuripoti tukio Hilo katika Jeshi la Polisi.
====
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma...
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???
Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani...
TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA ILI WASIJE KUSEMA HATUKUWAAMBIA.NA HIVI NDIVYO MAHAKAMA ILIVYOTUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YA CYPRIAN MUSIBA KWENYE KESI ALIYOFUNGULIWA NA MH.BERNARD MEMBE.
Kesi ya Bernad Membe dhidi ya Musiba kusikilizwa tar 31 Machi, 2020 hii ni baada ya mapingamizi ya awali yaliyokuwa yamewasilishwa na Musiba na wenzake kutupwa na Mahakama Kuu.
Leo tar 27 Desemba, 2019 Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi dhidi ya mapingamizi matatu yaliyokuwa...
Wakuu salaam.
Watu wanao daiwa kumkosoa rais Magufuli wanakamatwa kama magaidi huku wanao wakamata wakiwa na uchu wa kuwatoa roho.
Kuna mtu anajiita Cyprian Musiba, kipindi cha nyuma alitaja majina ya watu wanaomkosoa rais Magufuli mitandaoni. Au watu wasiounga mkono Juhudi za Serikali ya...
Kwenye sheria ni lazima unapohitaji haki itendeke uhusishe pande zote ili uujue ukweli na ufanye uamuzi usiopendelea upande mmoja
Nimesikia kwenye kikao cha baraza kuu la CCM kilichomalizika siku chache zilizopita, huko Mwanza, kuwa kimeamua kuwaita akina Bernard Membe, Abdurahman Kinana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.