Madogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time.
Angalia sasa wamekalishwa benchi muda mrefu bila kutoa ngoma wakati ndio kwanza ni wasanii underground.
Kama Kiba ameishiwa mashairi ya...
Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji.
Utayarishaji wa muziki utafanywa na sisi, muimbaji atakuwa na jukumu la kiuandishi kwa kushirikiana na sisi.
Je atanufaikaje...
Tuna peana offer hii kwanzia Taree 17/12/2018 adi taree 01/01/2019, kwa wasanii ambao wanaanza mziki, Wowote iwe Gospel, au nyimbo za mapenzi,
EMB RECORDS ipo inchini Kenya, Nairobi Street, ili uwe wa kwanza kupata Offer hii Tupate Nairobi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.