Bukoba mjini na Musoma mjini yote ni miji midogo, je mji gani una unafuu
Usafiri - Anga, Maji, Ardhi
Mitaa ya makazi ya watu inayovutia
Majengo ya mjini
Shule
Vyuo
Barabara
Miradi
n.k
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametembelea Gereza la Musoma Mjini na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa wa dini ya Kiislamu na Kikristo ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma.
Katika ziara hiyo, Mbunge Marwa...
AGNES MARWA AWAKUMBUKA WAFUNGWA GEREZA LA MUSOMA MJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametembelea Gereza la Musoma Mjini na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa wa dini ya Kiislamu na Kikristo ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa...
Katika hali ya kushangaza kabla hata ya mchakato wa uchukuaji na urejeshwaji fomu za kugombea nafasi za ubunge na udiwani jimbo la Musoma Mjini mbunge wa jimbo jimbo hilo anaemaliza Muda wake vedastus mathayo alifanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwenye kata zote 16 za wilaya hiyo akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.