Kwa biashara ipi hasaWale wa fursa ya kibiashara musoma ni pazuri zaidi kutoka kimaisha
Kama unataka kutoka kimaisha haraka musoma ni pazuri kuliko bukoba.Kwa biashara ipi hasa
Kwa biashara ipi hasa, au yoyote tuKama unataka kutoka kimaisha haraka musoma ni pazuri kuliko bukoba.
Musoma ina idadi kubwa ya watu na mwingiliano mkubwa , hivyo biashara yoyote unatoka kirahisiKwa biashara ipi hasa, au yoyote tu
Musoma mjini ni moja ya miji migumu sana kwa kuwa na shughuli chache za kiuchumi na mzunguko mdogo wa pesa, ndio sababu ya watu wengi wa mkoa huo kujazana mikoa mingine hasa Mwanza na DarMusoma ina idadi kubwa ya watu na mwingiliano mkubwa , hivyo biashara yoyote unatoka kirahisi
Ni kweli ila naona kama bukoba pa gumu zaidiMusoma mjini ni moja ya miji inayolalamikiwa kuwa migumu asna kutoka kimaisha ndio maana watu wengi wa Mara wanakimbilia hata miji midogo kama Tarime
Musoma Mjini na Bukoba Mjini ni miji midogo yenye shughuli chache za kiuchumi, hivyo maisha ni magumu kwa ujumla. Hata hivyo, Bukoba ina nafuu kidogo kiuchumi ukilinganisha na Musoma.Ni kweli ila naona kama bukoba pa gumu zaidi
Maana yake hakuna bato tenaMusoma Mjini na Bukoba Mjini ni miji midogo yenye shughuli chache za kiuchumi, hivyo maisha ni magumu kwa ujumla. Hata hivyo, Bukoba ina nafuu kidogo kiuchumi ukilinganisha na Musoma.
Bukoba ina miundombinu na fursa zaidi: kuna shule nyingi binafsi, hoteli nyingi zaidi, na inapakana na nchi tatu hivyo kuna mwingiliano mkubwa wa watu na biashara. Pia ina fukwe nzuri, ujenzi wa chuo cha UDSM unaotarajiwa kuchochea uchumi, bandari kubwa inayotoa ajira (kama uendeshaji wa kreni na ukuli), pamoja na uwepo wa uwanja wa ndege.
Kwa Musoma mjini mji umechakaa sana, vitu vingi vilikuwepo ila havipo tena kuanzia viwanda, bandari, airport, Meli za mizigo, shule, n.k.
Hata hivyo, ni vyema kulinganisha miji hii kwa kuzingatia vigezo maalum ulivyovitaja kwenye post.
Hata moshi kuna shughuli chache za kiuchumi ila kuna nafuu kuzidi kuishi Kahama kwenye uchumi mkubwa, kwahio sio kila kitu ni kuhusu uchumi tu.