musoma mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Battle of small towns: Je, ni kweli kuwa Bukoba mjini inaipiku Musoma mjini ?

    Bukoba mjini na Musoma mjini yote ni miji midogo, je mji gani una unafuu Usafiri - Anga, Maji, Ardhi Mitaa ya makazi ya watu inayovutia Majengo ya mjini Shule Vyuo Barabara Miradi n.k
  2. H

    JamiiForums Tanzania Agnes Marwa awakumbuka wafungwa gereza la Musoma Mjini

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametembelea Gereza la Musoma Mjini na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa wa dini ya Kiislamu na Kikristo ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma. Katika ziara hiyo, Mbunge Marwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Agnes Marwa awakumbuka wafungwa gereza la Musoma Mjini

    AGNES MARWA AWAKUMBUKA WAFUNGWA GEREZA LA MUSOMA MJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametembelea Gereza la Musoma Mjini na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa wa dini ya Kiislamu na Kikristo ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa...
  4. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Musoma mjini tunaomba mrejesho sakata la kutoa rushwa kwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo mlipo kamata mamilioni ya pesa kwenye mkutano

    Katika hali ya kushangaza kabla hata ya mchakato wa uchukuaji na urejeshwaji fomu za kugombea nafasi za ubunge na udiwani jimbo la Musoma Mjini mbunge wa jimbo jimbo hilo anaemaliza Muda wake vedastus mathayo alifanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwenye kata zote 16 za wilaya hiyo akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…