Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania.
Dr. W. Slaa anaongeza kuwa njama zozote za kuipiku CHADEMA katika jambo la katiba mpya kwa kukiweka chama hiki cha...
Sasa ni wazi.
Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima.
Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali.
Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.
Wameamua kuifanya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi...
Gianna Amani
Wadau mbalimbali wameeleza kuwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kinajali mstakabali wa watu wote duniani, amani haki na ushiriki wa pamoja katika kutatua changamoto zinazoikabili dunia hivi sasa na siku zijazo.
Hayo yalielezwa na baadhi ya wachangia mada na washiriki katika...
Nusu karne iliyopita, Wachina wapatao elfu 50 wake kwa waume walikwenda Afrika wakiwa wamejawa na moyo wa urafiki na kufanya kazi bega kwa bega na watu wa Tanzania na Zambia kujenga Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA). Zaidi ya Wachina 60 walipoteza maisha yao kwa kazi hii.
Katika ziara yake ya...
NA BRYAN OTIENO
Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”.
Mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Afrika yana historia ndefu. Katika miaka ya 1950 na 1960, Mwenyekiti Mao Zedong, Waziri Mkuu Zhou Enlai na wanasiasa wengine wa Afrika kwa pamoja...
Dunia inaenda kasi sana !
kihistoria dunia ina pande mbili kinzani yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto kisiasa,kiutamaduni,kiuchumi n.k
Mwaka huu tunashuhudia mpamnano mkali kati ya pande hizo mbili.
Hakuna anayeujua undani wa vita hii kwa jicho letu kama Tanzania zaidi ya historia...
Mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika ni ufunguo wa kufikia mustakabali wa pamoja
NA BRYAN OTIENO
Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”.
Mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Afrika yana historia ndefu. Katika miaka ya 1950 na 1960...
Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja
NA BRYAN OTIENO
"Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja."
Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
HATIMA YA UCHUMI NCHINI TANZANI
andiko hili lina sehemu tatu,
sehemu ya kwanza inaelezea maana ya uchumi
sehemu ya pili, inaelezea mifano ya baadhi ya taasisi mamlaka zinazofanya vizuri kwenye maeneo yao ya utendaji
sehemu tatu, inaelezea pendekezo la nini kifanyike Ili kuwa na Uchumi imara...
Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo.
Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal.
Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:-
1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya Uadilifu, Uthibitisho, Usalama na Uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
UTANGULIZI:
ELIMU ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga Akili, Tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Jamii hutumia Elimu kupitisha Maarifa, Ujuzi na Maadili kutoka kizazi kimoja hadi kizazi kingine.
MAADILI ni mafundisho yanayotolewa katika nafasi mbalimbali hasa...
MAADHIMISHO YA KWANZA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 07/07/2022: MUSTAKABALI WA TANZANIA NA KISWAHILI NI UPI?
(Muhtasari wa masuala muhimu niliyohojiwa katika kipindi cha Stimela cha TBC FM tarehe 07/07/2022 saa 10:00 -11:00 jioni)
1.0 UTANGULIZI
Tarehe 23/11/2021 ndio siku ambayo Shirikika la...
Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan:
Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu...
Nina hofu kuu kila nikitafakari na kuyaangalia mambo yanavyokwenda. Nawaangalia wanangu kisha roho inaniuma sana! Naona wazi kabisa napaswa, nahitajika kufanya jambo. Jambo kubwa kwa ajili ya kesho njema ya wanangu na wanao pia. Mimi nawe, sio wao na wana wao!
Tunaundiwa tabaka la watawala. Wao...
UPI MUSTAKABALI WA KITUO CHA ANGA CHA ISS MARA BAADA YA RUSSIA KUWEKEWA VIKWAZO LUKUKI NA WASHIRIKA WENZAKE EU NA MAREKANI
Maswali Mengi tumekuwa tukijiuliza Sana juu mustakabali wa kituo Cha iss ambapo kituo hichi kimekuwa kikishirikisha ushirikiano wa mataifa kadhaa makubwa katika pande...
Kwa habari zilizoko ni kwamba wale wabunge 19 wa Chadema wamevuliwa uanachama.KISA hawakupitishwa na CHAMA.
Swali ambalo najiuliza JE Mbowe na Chadema wanataka kuteua wabunge wengine kwa nafasi hizo?Kama jibu ni Ndio basi Mbowe hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Chadema hakina hadhi ya kuwa...
Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga vs Gwambina msimu uliopita akiwa kocha mkuu pale alipo wapumzisha wachezaji muhimu eti...
Giza lilipoingia nchini Ethiopia, jengo refu zaidi la Afrika Mashariki lilikuwa liking'ara, na matangazo ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yalikuwa yakionyeshwa kwenye ukuta wa pazia. Jengo hilo lenye urefu wa mita 209 ni makao makuu mapya ya Benki ya Biashara ya Ethiopia...
Na. Sifael Essau Mpollo.
Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.