mustakabali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

    Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja. Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa. Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
  2. successiful dreamer

    Mustakabali wa elimu yetu ni upi?

    Habari ya uzima wanajamvi? Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Mimi ni mdau wa elimu nimekua nikifatilia kwa kiasi mijadala inayohusiana na elimu ya nchi yetu kwa kipindi kirefu sana bila kupata majibu sahihi. Kinachoniumiza zaidi ni...
  3. N

    SoC01 Kuwa chachu ya mabadiliko chanya katika jamii inayokuzunguka

    July 30th 2021 MUSTAKABALI WA JAMII Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii husika kuhusu mada hii mahsusi kwa rika zote, kabila zote, wake kwa waume na dini zote. Naomba...
  4. N

    Mustakabali wa Jamii

    July 30th 2021 MUSTAKABALI WA JAMII Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii husika kuhusu mada hii mahsusi kwa rika zote, kabila zote, wake kwa waume na dini zote. Naomba...
  5. wakale kwanza

    SoC01 Mustakabali wa Elimu ya Tanzania na uhusiano wake kwenye masomo ya Ujasiriamali

    MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI. ELIMU YA MSINGI Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha Elimu hii na Elimu ya ujasiriamali. Hususa ni Taasisi husika kukubali kuipokea Elimu hii ya...
  6. J

    SoC01 Utashi wa kuku na mustakabali wetu wa uongozi

    Kuku ni kiumbe chenye utashi wa ajabu kama walivyo viumbe wengine ambao ni tofauti na binadamu. Mtu anapotaka kumtega kuku aliyepo katika kundi la kuku wengi hurusha punje za mahindi, mchele au mabaki mengine ya chakula. Kundi la kuku litaanza kumfuata taratibu mpaka ndani, kisha anafunga mlango...
  7. IslamTZ

    Upi Mustakabali wa ACT-Wazalendo Kwenye Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
  8. Jidu La Mabambasi

    Wana CCM, Katiba Mpya iliyorekebishwa ni kwa mustakabali wetu sote

    Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano. Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano: 1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia...
  9. Linguistic

    Mustakabali wa vyama vya Siasa Tanzania

    Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na demokrasia ya kweli, maslahi ya ruzuku kwenye vyama vya upinzani vingejiweka pembeni na kuwa na chama kimoja au viwili vya upinzani vikibeba agenda au sera za kitaifa. Kushindwa huku na kukimbiwa na watu mnaowakaribisha kunathibitisha political readiness...
  10. S

    Janga la Corona na mustakabali wa ada kwa wanafunzi

    Wakuu kwema? Natumai mko salama katika Janga hili hatari lililotukumba la CORONA. Kabla ya kwenda kwenye mada, ningependa kwanza kutoa uchanganuzi katika suala la gharama Kama nilivyojifunza. "Cost" pamoja migawanyo mingine imegawanyika pia katika makundi mawili ambayo ni "Fixed Costs" na "...
  11. R

    Ujenzi wa barabara ya Tanga hadi Pangani, malipo ya watakaopitiwa na barabara mustakabali wake ni upi?

    Hii barabara inapitia mitaa hii ambayo ina wakazi ambao nyumba za zimewekewa X na namba nyekundu. Ni Mwembeduga-Mwan'gombe- Mwakidila- Mwahako- Neema mpaka Pangani. Sehemu nilizotaja watu wako wansubiria kwa hamu walipwe wapate ziada wajenge na kupata myaji. Lakini nijuavyo (I stand to be...
  12. Wazo la kabwela

    Wasomi wetu na mustakabali wa Tanzania yetu ya baadaye

    Maisha yalibadilika, wasomi (wetu) wakaanza kuziona thamani zao katika ombwe la utupu. Walishindwa kuthamini hata vyungu vilivyowapika wakajiona wameiva. Wengine waliamua kujiita wamepikwa matopeni. Lakini kubwa ni kwamba tuna falsafa. Itikadi ambazo zinafumbatwa katika lugha zetu. Pengine...
Back
Top Bottom