Habari wanajamvi?
Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja ya msingi.
Kwa muda sasa KATIBA YA JMT imekuwa ikivunjwa na wana Siasa kadiri wanavyo penda bila kujali viapo vyao.
Swali ninalo jiuliza ni kwamba ni nani hasa ni mlizi wa KATIBA yetu?
Binafsi nimeshuhudia Rais Magufuli akivunja KATIBA mara...
Akifafanua hali ya sintofahamu inayoendelea kuhusu mchakato wa uwekezaji unaendelea kati ya Klabu ya Simba na mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi Mkuu Tume ya Ushindani (FCC), William Erio amesema kinachoangaliwa na watu wengi ni upande wa Mwekezaji na kusahau kuhusu kile kinachotakiwa...
Asalam,
Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM.
1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini...
Shikamoo Babu. Babu nimesoma katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 2A inasema "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda jamhuri ya muungano wa Tanzania". Kweli naiona Zanzibar ipo kama nchi maana ina Rais wake, katiba na bendera yake. Nchi ya pili ambayo ni sehemu ya muungano hapa...
Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania.
Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano.
Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika.
Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi...
Wakati Tanzania Bara na Zanzibar zikiungana mwaka 1964, Tanzania ilikadiriwa kuwa na idadi ya watu 9,649,925, kati ya watu hao, wanaume walikuwa 4,432,599 na wanawake walikuwa 5,217,326 sawa na asilimia 46 kwa 54 mtawalia.
Aidha, idadi ya watu kwa Tanganyika ilikuwa 9,354,560 wanaume wakiwa...
"Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
Leo hii waletee habari ya kuuvunja huo Muungano.
Akina Jussa wanajirusharusha huko pembeni wakicheza sinema chovu, lakini husikii wakihimiza Muungano uvunjwe.
Kama paliwahi kutokea fursa nzuri ya kuuvunja huu Muungano, , hapajawahi kuwa kama ilivyo sasa, wakati ambapo mZanzibari yupo...
Kwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kimataifa zinasema kuwa kutoka Pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la nchi husika. Yaani hapo nchi inamiliki kila kitu. Hata meli haziruhusiwi kusafiri bila ruhusa.
Pia...
Kwa wanaojua kanuni za uharibifu, huwa hauachii mahali au kwenye kitu kimoja.
Nyerere aliwahi kuulinganisha na kula nyama ya binadamu. Ailaye haachi. Sijui ukweli wa dhana hii.
Hata hivyo, ukiwasikia wanaohanikiza tuvunje muungano, unapata wasiwasi nao.
Mfano, juzi mtu mmoja aitwaye Jussa...
Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
Wakuu napenda kuuliza , hv Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika , je mikataba ambayo ilisainiwa Kwa idhini ya Tanzania nayo itavunjika ???
Wenye uelewa naomba wanijuze
Wasalaam
Mara nyingi huwa nasikia huko Bungeni na kwa wanasiasa mbalimbali kwamba,
Muungano wetu ni wa kipekee, umezifanya nchi hizi mbili kuwa na mambo ambayo hayawezi kuingiliana na yale ambayo yanayoingiliana
Kuna yale yanakuwa ya Zanzibari pekee na yale yanakuwa ya Watanganyika pekee...
Hi
Watanganyika hoja yao kuu ni kwamba kwenye muungano hawana chombo chao cha maamuzi (Tanganyika), huku Wazanzibar hoja yao kubwa ni kwamba wanakosa nguvu ya moja kwa moja kwenye majukwaa mbalimbali ya kimataifa.
Wanashindwa kujiunga na union mbalimbali kama UMOJA WA NCHI ZA KIARABU, UN n.k...
Hivi mama gani mwenye akili na uchungu wa Mali za familia anaweza akazigawa Mali za familia yake kwa majirani halafu awaambie watoto wake wasubiri mali hizo zikisha wanufaisha majirani na wao watapata faida?
Mama wa namna hiyo hana uchungu na Mali za familia na ni mama mwenye chuki na choyo...
Huwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho.
Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika.
Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.