Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata.
Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
Si mara ya kwanza kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuzua manung'uniko na hata ushauri kuwa ima uvunjwe au urekebishwe. Wapo, hasa Wanzibri, wanaoona kama Zanzibar imemezwa na Bara.
Pia, wapo, hasa watu toka Bara, kuwa Zanzibar inapendelewa. Wanadhani ilipaswa kuwa kama si wilaya basi mkoa...
Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano.
Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na...
Shekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji
Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter
My take: Shekhe Ponda...
Narudi nyumbani baada ya Hustles za hapa na pale. Naombeni wenye uelewa kuhusu Hili jambo mnifahamishe. Je, Kuna uwezekano wa KUHOJI uhalali wa MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR MAHAKAMANI?
Ifike Mahali Chadema waitimize hamu ya Watanganyika, kwa kupigania maslahi ya Watanganyika pia. ukweli mchungu ni kwamba, kura zote mnaweza kupata ni za bara, Zanzibar hawaipendi chadema, na hawatakuja kuipenda kwasababu huwa wanaamini ni chama cha wakristo. siongelei udini, ila ukweli ni kwamba...
Hapo vip!
Hii ni moja ya ndoto zangu tokea enzi na enzi,nina imani siku ni kiwa rais wa nchi itakuwa ndio mwanzo na neema kubwa ya kila mwananchi maisha yake kuwa bora na umaskini itakuwa ni historia.
Nasema hivyo kwasababu uwezo huo ninao,nitakuwa rais ambaye watanzania watatamani aongoze...
Rejelea kichwa cha habari. Kuna haja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuvujwa kwasababu hauna faida yeyote Tanganyika. Tangu muungano huu Zanzibar ndiyo imekuwa ikinufaika kutoka Tanganyika lakini Tanganyika haijawahi kunufaika kutoka Zanzibar.
Zanzibar wamekuwa wakichota mchanga na mawe...
SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI
Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
Habari...
mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali
mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo:
1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya:
Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
Takwimu hizi zinaonesha kuwa, kati ya watu wote waliopo nchini kwa sasa, asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano. Idadi hii ni hazina muhimu kwa Taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, utamaduni na mazingira. Wengi wa watu hawa ni tunu katika kujifunza namna ya utunzaji wa mila na...
Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo.
Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na...
Utawasikia hata waheshimiwa, viongozi wa Taasisi za Serikali na Mashirika wakisema "Tunasherehekea miaka 59 ya Muungano wetu wa Tanzania Bara na Zanzibar
Kilicho wazi ni kwamba Upande wa Bara hawapendi kutaja jina TANGANYIKA, ni kama vile kwa makusudi au wanaona kama ni aibu fulani hivi.
Kwa...
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UNAVYOZIDI KUWA WA KIPEKEE NA MFANO WA KUIGWA DUNIANI KOTE.
Na Bwanku M Bwanku.
Kila ifikapo Aprili 26 kila mwaka, Tanzania huadhimisha siku Maalum ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounganisha Mataifa haya mawili na kuzaa Tanzania hii ya leo.
Kwa...
Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 376.
Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na...
Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, je, ni namna gani tunasherehekea Muungano huu?
Tunasikia kauli za wanasiasa wakipongeza na kusifia Muungano, namsikia Waziri Jafo akilielezea hatua kubwa iliyopigwa katika kutatua "kero za Muungano"! Lakini siwasikii wananchi wa kawaida wakitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.