muungano

  1. L

    Mchango wangu kuhusu nafasi za ajira kwenye taasisi za muungano

    Makubaliano yanasema kwenye taasisi na wizara zote za Muungano ajira iwe Zanzibar 21% na Tanzania 79%. Issue hapa naona haijakaa sawa maana mzanzibari anaweza kuingia kwa hizo 21% lakini pia hiyo asilimia 21% ikijitosheleza anaweza kuingia kwenye taasisi hiyo hiyo kama Mtanzania maana nae ni...
  2. S

    Kuhusu kero za Muungano, Zanzibar wanapaswa kutumia nafasi ya uraisi wa Samia kuweka msukumo wa kupata Katiba mpya, la sivyo imekula kwao!

    Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
  3. Valencia_UPV

    Zanzibar inastahili 50% ya Muungano

    Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine. 50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
  4. Geza Ulole

    Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
  5. MK254

    Tanzania yaacha kununia muungano wa AfCFTA. Hongera Rais Samia, watakuelewa tu

    Kwa kweli huyo mama anafanya yake. ========= The government will ratify the Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) between June and October this year, it was heard in Dar es Salaam yesterday. The document will be taken to Parliament for ratification upon getting the endorsement of the...
  6. S

    Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuupinga Muungano wa Tanzania

    Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuuping Muungano wa Tanzania kuwa sio wa haki na unafaa kuangaliwa au kuvunjwa ni tuhuma zilizowapelekea kusota mahabusu au jela za Tanganyika aka Tanzania Bara(TZB). Kuna kundi liliibuka la waTanganyika na kuja juu sana ndani ya bunge na...
  7. S

    Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

    Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...
  8. USSR

    Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

    Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri...
  9. Idugunde

    Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  10. Red Giant

    Binafsi naona hii ndiyo faida kubwa ambayo Tanganyika inapata kupitia Muungano

    Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
  11. J

    Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo...
  12. J

    Maisha yanaenda kasi; Jaffo kutoka kusimamia bajeti ya Tsh 3 trilioni TAMISEMI hadi 28 bilioni Muungano na Mazingira

    Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni. Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri...
  13. Gamba la Nyoka

    Kuna Mgongano wa Katiba ya Zanzibar na ya Muungano, ufumbuzi wake tutake tusitake ni katiba mpya!

    Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla. Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba mbili, yaani ya Muungano na ya Zanzibar (toleo la mwaka 2010)vinakinzana na hivyo kupelekea mkanganyiko...
  14. T

    Nini hatma ya Muungano wetu?

    Habarini wana ndugu, Binafsi ni mgeni katika uwanja huu awali ya yote ningependa kubisha hodi humu ndani. Mada yangu haswa ni kuhusu muungano wetu ambao tumekuwa nao kwa kitambo sasa. Linapokuja suala la muungano tumekuwa tukisikia swala la kuwaenzi waasisi wetu ilhali kuna mengi waasisi...
  15. JERUSALEM 2006

    Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

    A. UTANGULIZI Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
  16. Chizi Maarifa

    Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

    Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano. Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa...
  17. kavulata

    Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

    Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
  18. DENLSON

    Miaka 57 ya Muungano: Rais Samia ielekeze serikali yako ijenge taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu naamini ni mwanzo tu na mengi yatafuata. Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Tumekuwa na awamu tano...
  19. mshale21

    Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  20. beth

    Dkt. Mpango: Sitakuwa mpole kwa wanaochezea Muungano

    Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa Amesema, "Sitakubali kabisa wanaochezea Muungano wetu adhimu. Kuna baadhi ya mambo huwa watu wanasema mimi ni mpole...
Back
Top Bottom