Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya...
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota mizizi, majani ya chuki yakizidi kuchanua. Ni kiongozi mjinga tu asieweza kuona kwamba jinsi haya...
Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao.
Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka vyama vyao vya kisiasa na siyo hivi vya kubambikiwa.
Wazanzibari wanataka uhuru wao! Hamsikii?
PIA...
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika...
Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na...
Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili tuu tuungane.
Ikumbukwe baada ya muungano Tanganyika ikafa, Zanzibar yenyewe ipo, Mtanganyika...
Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo...
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is simply a ceremonial goverment, without any power.
Kama ilivyo kwa Hongkong na Macau Wachina...
Vitendo huthibitisha yale yamtokayo mtu mdomoni.
Ni dhahiri sasa wenzetu wazanzibari wanatekeleza kile walichomaanisha , msemo wa
Changu Changu Chako Chetu.
Maneno yaMakamu wa Rais Zanzibar na matangazo ya kazi kwa upendeleo wa wazanzibari tu, tumeyaona.
Shaka Hamdu, mzanzibari asiye na hata...
Nataka Kusema, mgogoro uliopo Sasa kati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaweza kuja kuleta madhara baadae kama ilivyokuwa madhara makubwa ya vita ya Ukraine na Russia, ambazo awali zilikuwa nchi moja na Mtawala wa Soviet union aliye na asili ya Ukraine kufanya maamuzi ya kupendelea...
Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran.
Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano.
Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?
Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?
Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu...
Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za muungano zinaibuliwa wanachama wengi wa chama tawala huwa wanapenda kusema tutaulinda muungano na kurudia...
Habari za Leo wapenda soccer?
Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kihutubia Taifa kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Pamoja na mambo mengine, Rais Samia amesema mojawapo ya sababu zinazofanya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar udumu ni uwepo wa tume ya pamoja...
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti...
Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano.
Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe anaongezewa mshahara sasa baada ya kubeba kombe Simba imesema hili sio kombe.
Mambo yamekuwa mambo 🤓😁😂
Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii.
Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu.
Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.