muwasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Musoma: Mzee wa miaka 80 alalamika MUWASA kutomlipa fidia tangu mwaka 2013

    Mzee Magonya, mkazi wa mtaa wa Nyamiongo, kata ya Makoko, ameilalamikia ofisi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) kwa kushindwa kumlipa stahiki zake tangu mwaka 2013. Akizungumza na waandishi wa habari waliomtembelea nyumbani kwake kwa lengo la kupata ufafanuzi...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MUWASA Yaendelea Kusambaza Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Mpanda akutwa kajiunganishia maji chumbani kwake

    Hii Nchi Kila mtu akipata angle au gape la kutumia basi anatumia bila kupoteza muda. ========= Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MUWASA) imemkamata Yusuph Singu mkazi wa mji wa zamani kwa tuhuma za kujiunganishia maji chumbani kwake kinyume na taratibu. Katika utetezi wake...
Back
Top Bottom