Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mzee Magonya, mkazi wa mtaa wa Nyamiongo, kata ya Makoko, ameilalamikia ofisi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) kwa kushindwa kumlipa stahiki zake tangu mwaka 2013.
Akizungumza na waandishi wa habari waliomtembelea nyumbani kwake kwa lengo la kupata ufafanuzi wa kina, Mzee Magonya alieleza kuwa licha ya kufuatilia suala hilo kwa miaka mingi, bado hajapata haki yake.
Aidha, Mzee Magonya anaishi umbali wa takribani mita tano kutoka kwenye tanki kubwa la maji la MUWASA, jambo linalomfanya awe na hofu juu ya usalama wake na wa familia yake kutokana na uwezekano wa madhara ya kiafya au kimazingira.
Mkurugenzi wa MUWASA ametoa majibu ya madai hayo, ambapo Mkurugenzi wa mamlaka hiyo ametoa ufafanuzi kuhusu hatua zilizochukuliwa