Hili jambo nimekuwa nikijiuliza muda mrefu. Ila kabla ya kwenda mbele, tupate maana ya 'Mfalme wa Muziki' fulani.
Tuanze na mifano hii, ili kuweka mambo kwenye muktadha. James Brown ni Mfalme wa Muziki wa Soul, Michael Jackson ndiye Mfalme wa Pop, Robert Marley ndiye mfalme wa Muziki wa Reggae...