muziki

  1. Flechaa

    Ni aina gani ya muziki usioupenda au hujatokea huuelewa kabisa?

    Habari za muda huu wakuu. Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa muziki kama Afromusic hasa za Nigeria,South,Ghana na East africa. Pia christian songs,Hiphop za bongo na mbele kias flani,pia Pop na Reggae kama za Lucky dube,Bob marley, Alpha blondy. Ila kuna baadhi ya aina za mziki ambazo hua...
  2. Suley2019

    Mtayarisha muziki wa Kenya amshutumu Harmonize kwa kumuibia mdundo katika wimbo wa "Uno"

    Mtaarishaji wa muziki wa Kenya anayeitwa Magix Enga amemshutumu mwanamuziki wa Tanzania Harmonize kwa kumuibia biti alilolitumia katika wimbo wake mpya unaoitwa "Uno". Katika posti yake ya Instagram Magix amemuonya Harmonize kwa kumsisitiza kuuondoa wimbo huo katika mitandao yote ndani ya wiki...
  3. Kingsmann

    WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Ukiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL". Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina...
  4. sajorsergiosjanic

    Nafasi mbili kwa wasanii waimbaji (singers).

    Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji. Utayarishaji wa muziki utafanywa na sisi, muimbaji atakuwa na jukumu la kiuandishi kwa kushirikiana na sisi. Je atanufaikaje...
  5. adden

    Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    Habari za jioni wanajamvi. Taarifa nilizozipata punde zinasema mfalme huyo wa taarabu anaacha rasmi mziki huo na kumrudia mungu. Mungu amjaalie wepesi afanikiwe katika dhamira yake UPDATES; Mzee Yusuph ameamua kuachana ma Muziki na kumrudia Mungu wake na amewataka watu wote wamsamehe ili...
Back
Top Bottom